Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Rafiki yangu ana mchumba wake, Jambo la ajabu na la kushangaza yule mchumba anamueleza rafiki yangu kuwa hampendi anajilazimisha lakini atamvumilia. Mimi na rafiki yangu tumejaribu kumuhoji tatizo...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
hivi sitaki kuwa msemajinaomba tuwasaidie wanaume wengi hapa jamvini wanaendeshwa kama moto na wake zao hii ni pamoja na madaraka ya wanaume kujimilikisha wanawake .aiajalishi una kipato kuliko...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu tha great thinkers! Hivi ni aina gani ya chakula au mambo gani yanaweza kusaidia kuongeza nguvu za kiume?coz hili ni tatizo la wengi na linavunja ndoa nyingi,naomba majibu kwa faida...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nimekuwa nashangaa kidogo na msanii maarufu wa zi comedy hasa pale anapowaita jinsia flan kama viburudisho( cjui ni coca cola au juice ya miwa) au mimi ndio mshamba tu, nisaidieni,nielimisheni na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
mibunge hii tujihadhari nayo jamani hasa 2015 simu kuvaa vikuku mpaka bunge linaisha wamemfanya mama wa watu binti kiroboto nae anahangaika kuvaa kila aina ya mitindo kujaribu kuwasogelea mama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi ni kitu gani kinachowafanya kina mama wa kizungu waamini kuwa wanaume weusi wana mashine za nguvu na wataalam wa majamboz?
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari zenu jf!kuna mdada mmoja hvi nilimpigaga sound kama miezi miwil imeisha pita,akantolea nje then akanipa sababu yake kubwa ambayo na mimi niliiona ni ya muhimu sana kwamba alikua na...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
habari za leo wanajamvi, nimekua nikishuhudia kuwa wanaume wengi ndo wanaokoroma kuliko wanawake, je ni kweli? Nini sababu yake? Je kama demu/mkeo/mumeo anakoroma unajisikiaje? Maana nina jirani...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Hata Ukirukaruka! Kuna njia nyingi sana za uzazi wa mpango ambazo huweza kuzuia mimba. Pia kuna imani potofu nyingi kama si kukosa uelewa halisi wa namna ya kujikinga ili mwanamke asipate mimba...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Tumeshuhudia siku hiz kina dada wakiwa warahisi sana kugawa penzi. Hv we ungekuwa mwanamke ungekubal kugawa penz kirahis? Msiniulize msimamo wangu...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
At this age and time... Is it really possible? For a young man/woman to be sexually pure until marriage? Inawezekana kweli? kwa kijana kubaki msafi kimapenzi hadi ndoa?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
wewe rafiki wa mume wangu,lakini cha ajabu unampenda mke wa rafiki yako wakati wewe unamke.ukituona tumeongozana unakasirika,huoni aibu?jamani,dunia inaenda wapi?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Is he cheating? Saturday, 02 July 2011 12:13 digg What to do when all his pals are gals By Sharifa Kalokola THE CITIZEN He has all the right moves, he is smart, considerate...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Hata Sms! Maisha yanaweza kuwa magumu na mahusiano (ndoa) yanaweza kuwa magumu pia. Na pia kuishi na mtu mwingine siku hadi siku wakati mwingine huwa ni dhiki kuu (tribulation) hasa kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanaume bwana! Kwa nini wanaume wanahitaji sex na wanawake wanahitaji upendo.wanaume huwa frustrated na wanawake kwa kuwa hawapendi sex na wanawake huwa frustrated na wanaume kwa kuwa kila mara...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanawake nao... Wanaume hukatishwa tamaa na wanawake kwa kuwa wanawake hawapendi sex na wanawake hukatishwa tamaa sana na wanaume kwa kuwa wanaume kila mara wanachotaka ni sex.Wanawake hulaumu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani kawe kuna vituko embu jaribu kuhamia hata kwa mwezi tu jamani jana nikiwa natoka kwa job nikapita kuelekea kunyumba nikapita kamto fulani wanaokijua ukifika pale mayfair unaingia kulia...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Accuser's lies jeopardize DSK case, experts say Former International Monetary Fund leader Dominique Strauss-Kahn leaves New York … Dominique Strauss- Kahn leaves New York State Supreme court...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani wana JF mimi nina tatizo moja kubwa maishani mwangu kuhusu wanawake na matatizo hayo ni kama ifuatavyo; Kila nikitafuta mwanamke najikuta niko na mchagga, matokeo yake nimejikuta natembea...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
A love that have purpose is a rich love??
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…