Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

According to the statistics below----- You were born way to early. 1970's : Love me, but don't touch me. 1980's : Touch me, but don't kiss me. 1990's : Kiss me, but don't do anything more...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi, napenda kuwashindikiza kwenye wikiendi na maombi ninayo oomba kila kuchao!!!!"Ewe Mwenyezi Mungu niepushe na Mali nyingi", kwanini nasema hivi, kwa sasa kipato changu nashkuru si...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau.. Nipo mbioni kutafuta msichana ambaye kama mambo yakienda vizuri tufunge naye pingu za maisha. Kuna vigezo vichache ninavyo ila naombeni munisaidie kujua kama aina ya kabila nalo ni jambo...
0 Reactions
116 Replies
10K Views
Hivi inamaanisha nini kwa mwanamke kukataa kutumia jina la Mume wake baada ya kuolewa na kuendelea kutumia jina la baba yake (maiden father)? Kuna wanawake wengine hung'ang'ania baada tu ya...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Nafanya utafiti na muda si mrefu nitatoa matokeo. Ushahidi wa awali unaonesha kuwa wasichana wakiwa na ma-boyfriends huwa hawajali urembo wao na kujitunza sababu hawana wasiwasi. Lakini inapotokea...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
PENGINE UMEKUWA UKITESEKA SANA SANA KUHUSU UZAO WAKO,..LEO LIPO JIBU TOKA KWA MUNGU\WATU WENGI WAMEKUWA WAKITESEKA NA SHETAN AMEJUA MBINU KUBWA KUISAMBARATISHA NDOA ZA WANAOMPENDA YESU WALIOKOKA...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
JUNRAY BARAWING kutoka UFILIPINO jana alitawazwa na wataalamu wa kile kitabu cha kuweka kumbukumbu za maajabu Duniani cha 'GUINNESS' kwamba kwasasa ndie mtu mfupi kuliko watu wote wanaoishi...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari zenu wana jf,naamini mpaka unasoma post hii basi upo fine. Leo nimekuja na haka katopic,kuhusu kuvaa apron wakati wa mapishi.Minafikiri mapishi sio apron ni issue ya mpishi mwenyewe.Nasio...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Hata kama mlikuwa mkimegana kila siku b4 ndoa. Siku ya harusi wote mnakuwa na mihemko na hamu ya ajabu kunjunji na mkeo. Je utafanyeje ikiwa umeisubiri kwa hamu usiku uingie ili ufaidi uhondo na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
...kwa sisi manunda ambao tunaoamini kila mtu anastahiki nafasi nyingine ya kupenda na kupendwa, tunapaswa kukumbushana. - 'it's not what you know, it's what you "believe" to be true that...
9 Reactions
140 Replies
10K Views
takiribin mwez wa 3 sasa kuna mtu nampenda kutoka moyoni klila cku anaishia kunitext mara hi, gd9t, thinking of u, n.k na me huwa najtahd kujibu text zake kulingana na alichonitext, japo roho...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Amani ya Mungu iwe juu yenu. nina rafiki yangu aliniomba ushauri nikaona ni vyema niwashirikishe tushirikiane mawazo. Huyu rafiki yangu (msichana) ana urafiki wa kawaida na wakaka wawili,hao...
1 Reactions
98 Replies
6K Views
Wapendwa nimeshuhudia kitchen party sijui ndo send off ya mmama mtu mzima sana na hii ilikuwa ni ndoa ya tatu kwake ,hivi hizi send off ni binti anayeolewa kwa mara ya kwanza tu au hata kwa jimama...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
.... ndo mwisho wa kua na marafiki wa jinsia tofauti??? Nauliza kwasababu naona watu hua wanalaani sana msichana mwenye “rafiki“ mwanaume aliyeoa au msichana aliyeolewa akiwa na “rafiki“...
0 Reactions
92 Replies
6K Views
JAMANI WANA JF HABARI, Mimi nafanya kazi kwenye taasisi moja kubwa tuu na mshahara wangu mzuri tuu najimudu vyema. Wakati naanza kazi nikakutana na mdada mmoja ambaye alitokea kunipenda ghafla...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Wawe na elimu au la, wengi wa wanawake tena wengine wameolewa walio kwenye age 16-28 MCHARUKO yaani hawajatulia hasa wa mijini, hata wakiwa na kazi au wawe wanafunzi or at home, kumbuka wengi...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Hata lugha na mila wanajua zaidi za upande wa mama kuliko za baba. Tena wanyakyusa na wachaga ni soo kwenye medani hiyo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuna jamaa mbeya namjua vyema aligonganisha akawaacha madem akawaambia"mi natoka anaejiona anastahili kuwa na mm jioni nikirudi nimkute kapika,kafua na kunyosha nguo"alivyorudi jioni akakuta...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
YouTube - ‪Ruben Studdard - Together Video‬‏ Nilisafiri kwa muda wa siku 4 nje ya jiji nikamtumia rafiki yangu wa kike wimbo huu. wakuu niliondoka wakati tukiwa tumeshindwa...
4 Reactions
63 Replies
4K Views
Ni kama utani vile lakini naamini siku moja utakuja kuthibitisha maneno yangu kama utapata jirani ambaye ni mngoni. Jamaa wanatisha kwa kuchakachua wake za watu, Kama huwajui ukipata jirani mwenye...
0 Reactions
93 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…