Hivi mtu umeendazako bar
Unapata kinywaji na washkaji
Mara mmoja anaanza kukuuliza maswali juu ya mke wako
ooh Je unamwamini sana..?
ooh mkeo ni mtakatifu eeeh?
ooh mara mkeo sijui vitu ganii...
Jamani hapa JF watu tunakuja kupunguza stress, tumekerwa na wenzi wetu, tumekerwa na mabosi na mengine mengi. Kwa upande wangu huwa baada ya kero kama hizo naingia JF mara moja kupunguza hizo...
Kuna rafiki yangu mmoja wa kiume alinisimulia kisa kimoja kilichomkuta aliposafiri kikazi na dada mmoja ambaye wanafanya naye kazi pamoja na wanaheshimiana sana kama ifuatavyo. Walikodi vyumba...
Nimesoma kwenye thread kule ati wakati mwingine body language tells it all.
Sasi mie hapa, body language inanitatiza (sijui kama ni mie au kuna wengine) naomba
kinadada mtusaidie. Toa mfano na...
Wapendwa wana JF, Yapata miezi 4 sasa binti anadai mimba aliyonayo ni yangu!Speed yake ni kubwa,lakini sijaishi nae na nimekutana nae mara mbili 2 tu, mwanzoni mwa mwezi wa 8, na kati ya mwez wa...
Hi wana JF, napenda niulize kwa wazoefu maana hapa ni kujifunza. Hivi mwanamke baada ya kujifungua anatakiwa akae muda gani kabla hajaanza kukutana kimwili na mmeo tena?
Yaliyojiri sikukuu ya idd B/F akamualika G/F aende kwake kumtembelea gf akaenda baada ya muda bf akaaga naenda mjini mara moja halafu akatoa mzigo akamwambia usitoke kuna rafiki yangu atafuata huu...
ndugu za kuna rafiki yangu mmoja (binti) amebahatika kupata mchumba kwa sasahivi binti anasoma chuo kikuu ndio anaingia mwaka wa tatu sasahivi, mchumba wa huyu rafiki yangu sasahivi anataka kwenda...
jamini naombeni mnisaidie hapa
ukifikia kwenye ile hatua yakuwa na mtu katika maisha yako yote(kuolewa/kuoa)
je ni lazima kuchangia vitu kama bank accounts, Pin number na password ya kila kitu...
Habari ya wakti huu wapendwa wa jf,jamani ushauri unahitajika kwa rafiki yangu huyu inshu ni very serious kwa hiyo wale watu waliotajwa na maty kuwa wanakera ni bora wasichangie.
Nina rafiki yangu...
Wana JF nimekuwa nikijiuliza siku nyingi swali hili na sipati jibu sahihi.Utakuta umempenda mtu unaona ni heri umueleze kilicho moyoni mwako tena kwa upendo na upole tu,lakini matokeo yake majibu...
Kaka zangu pamoja na yote tunayozungumza humu wadada kwamba hatupendi mariooo, mara kibamia hitimisho ni kwamba mdada akikupenda kwa dhati hayo yote huwa hayajali kabisa kama huna pesa utapewa na...
wana JF unajua two couples always have a long history hadi wanapofikia kuishi pamoja au kuoana,kuanzia kukutana kwao pamoja na mengi wanayopitia,wengine walikutana bar,wengine beach,wengine...
Kwa asilimia kubwa wanandoa wakiwa wanaelekea kazini/mahala kwa wale waliojaliwa usafiri/gari huwa wanauchuna ndani ya gari sana. Nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini? hata ukibahatika siku hio...
Hivi kwa mfano una GF/BF wako ambaye mlikutana baada ya kumaliza chuo/shule, lakini ikatokea kuwa kila ukikutana na mtu ukiwa naye, ambaye aliwahi kumfahamu, labda huko sekondari au chuoni, na...
Wewe ni dada mkali una umbo la ukweli halafu una shoga yako nae mkali lakini hakuzidi wewe,huyo shoga yako ana boyfriend handsome mwenye vigezo ambavyo unatamani umpate boyfriend wa namna...