Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Fikiria umezaliwa peke yako kwenye familia,baadae dingi anakuletea binti home anakuambia ni dada yako alimpata kabla hajakutana na mama yako,muda unapita,unamchukulia kama dada mara mitego...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Umeolewa na mmeishi kwa muda(miaka) mwingi, mumeo ni askari/Mwanajeshi kwa hiyo kuna kipindi anakuwa zamu ya usiku. Siku mmoja ukaja kustukia kuwa mumeo anajihusisha na mambo ya ujambazi nyakati...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuna wakati nilisikia kuwa haiwezi tokea ukaona paka wana-doo na ukiona basi siku zako zinahesabika. Sasa mimi leo asubuhi kigiza hivi nawahi job nikakuta paka wamekunjana barabarani walivyoona...
0 Reactions
50 Replies
8K Views
Wanandoa hatarini zaidi kuambukizwa VVU Send to a friend Thursday, 11 November 2010 20:31 0diggsdigg Fredy Azzah MWENYEKITI Mtendaji wa Tume y a Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Fatma Mrisho...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimemis miziki ya mduara kama ile ya wana njenje nataka w/end hii nijirushe nayo na jidada mmoja mwenye pesa zake (sijui ndo za dili za ofisini) Naomba mwenye kujua anijuze mapemaaaaaaaa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Umeenda kusoma Kenya kwa muda wa miezi 6,nyumbani umemwacha Dingi na mkeo,unarudi unamkuta mkeo ana ujauzito kwenda kupima unakuta ujauzito una miezi 4,akili zinakuruka unamuuliiza mkeo anakueleza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi ingekuwaje? wanaJF kama kila tukiachana tunaenda Gazetini kuweka tangazo la rangi na ukurasa wa mbele kama hivi. TANGAZO Kuanzia leo tarehe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Etii :peep: wamo:caked:wanao nanihino ?? Au kunanihiliana ?? Yaani mnakutana kwa ufupi mmeanziaa hapa JF na kuendeleza huko nje kikamilifu ? kupependana mapenzi yaani natumai mmenielewa .
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Waku mimi ninajiuliza kwanini walioko kwenye ndoa wanataka kutoka na walioko nje wanataka kuingi wakti kilasiku wanasikia mikiki mikiki kilasiku kwenye vyombo vya habari hata kwenye mazingira...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kila nikipita mitaani nawaona wadada wakiwa wamevaa mikufu miguuni...! Lakini mikufu hii kuna staili za aina tatu nimepata kuziona, nazo ni; Mkufu unaovaliwa mguu wa kulia pekee Mkufu unaovaliwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Asalam waleikhum wanaJF, naomba mnipatie msaada katika hili kwani lanitatiza siku hadi siku kwani mie mgeni katika hili ingawa katika elimu zote zihusianazo na uzazi sikuwahi kukutana nalo, KWA...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni sawa kuchaguliwa mke na mama yako eti kisa ni mzazi na kila ki2 kwako?je ni sawa kuoa mtu ucyemjua kwa Tabia,au coz ni mzuri 2 wa umbo?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kutokana na utaratibu wa kule kwenye makambi ya jesh marekani,wale jamaa wanaotoa tigo wana utambulisho wao na utambulisho huo ni hereni masikioni,je kama na wewe unaweka hereni masikioni...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Tayari kuna mchakato umeanza wa kuanzisha taasisi rasmi ya gay, lesbian, transgender Tanzanians ili kutetea maslahi yao na kutoka katika maficho yao. Mchakato umefikia mbali na wakati wowote...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi unajisikia vipi mkeo anapoitwa demu? ok,au mchumba wako kwa mfano,au wewe unae itwa demu na ikaitika unajua maana yake? kwanini usiseme "mchumba","rafiki","binti" nk? dame-->woman or girl...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Closed
Wapwaz na Binamuz wote. Ni matumaini yangu kuwa wote mko salama.Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wale wote kwa namna moja ama nyingine mmeshiriki kufanikisha uchaguzi wa mwaka hu popote...
0 Reactions
220 Replies
14K Views
Nikimuoa mwanamke aliyewahi kuwa cheated na Ex wake, halafu naye akawa alimcheat baada ya kumuonya mara kadhaa bila mafanikio itakuwaje?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kina dada kwa nini hamziogopiiii???????? Mziogope hata kidogo
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wengi huhofu kurudiana na wapenzi wao wa zamani kwa madai ya kuwa atakuwa amemtegea kitu kibaya au marejesho ya majeshi haya hayana nia nzuri ila kuja kumkomoa............lakini mara nyingi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwanaume unapokuwa na mpenzi wako out hivi au popote pale.halafu vinapita" vifaa vya kufa mtu" i mean wanawake wengine wenye urembo na mvuto... halafu wewe mwanaume ukawa unatazama...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…