Heri ya 2017 JF massive.
Dakika chache tu zilizopita kuna jambo jema/ zuri limenitokea.
Nimeamka na njaa ikabidi niwashe gari niende Bojangles kununua staftahi.
Kufika hapo nikaamua kutokushuka...
Rafiki yangu amekuja kwangu Analalamika ,
anasema ana miaka 34 ila hajui kupenda ni nini?
yaani hajawai kumuona mtu anaempenda anaishi tu kama mtoto mdogo, umri wenyewe ndio huo.
mpeni...
Habari zenu,
Sina mengi ya kuwaambia ila kwa wale wenye wasichana wa kazi, napenda kuwasihi muwacheki afya zao hao wafanyakazi wenu wa ndani.
Hawa wanaotoka vijijini tena washamba wengi ni...
Habari wanna jf.
Wiki ilitopita nilienda bukoba kumtembelea jamaa yangu huko bukoba kilichonishangaza ni wanawake WA huko wengi wao wanatafta weupe kwa kujikoboa wary Hawaii ni washamba kumbe...
Habari wana MMU
Kwanza Namshukuru mungu japo kuna matatizo yananiandama sipo vizur leo napenda kuwapa mbinu Wadada kugundua aina na Ukubwa wa nyoka [emoji216][emoji216][emoji216] au dushelele za...
Habari wana MMU
Imenisikitisha sana, nilikua nipo sehemu ya watu wengi wake kwa waume, wengi tumejitenga kwa vikundi vikundi, pembeni ya kundi letu kulikua na kundi la wanawake wanne, wanajadili...
Nilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka.
Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe...
Ndugu zangu Hapa Arusha kuna shida kubwa sana kwa upande wa watoto wa kiume hasa vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa.
Vijana wa kiume hapa Arusha hawapendi kufanya kazi na kujiingizia kipato...
Introduction:-
Hoya niaje wanaume wenzangu..
Kama nilivyoandika kwenye heading ""Kwanini mnaoa wakati Kuna kudhulumiwa humo?""
Scenario.
Nazungumza na wewe baharia mwenzangu
1. Upo Halmashauri...
Mimi ni binti wa makamo nipo na mahusiano na mtu kwa miaka mitano sasa ila tangu nimeanza nae kwa kweli sijawahi mpenda.
But nilikuwa najipa moyo kuwa nitajifunza kumpenda lakini naona jitihada...
wadada wa bongo muwe waelewa,wanaume tunatafuta pesa kwa tabu sana,so unaponiomba pesa nikakuambia sina, uelewe sina kweli sio unavimbisha mimashavu.
ona mfano wa jinsi wanaume tunavyorisk maisha...
Ivi ni ajabu dogo janja kumuoa Irene uwoya??
Kwa mimi sioni ajabu hata Kidogo kwani mtu mpaka anaamua kuolewa na huyo mwanaume ujue karidhika nae. Kama asingeridhika nae asingesubutu kuolewa nae...
Niaje watu wazima wenzangu..?
Hivi siku hizi mambo yamekuwa viceversa? Ndani ya wiki mbili nimetongoza wanawake kama nane hivi, wawili nishawashughulikia ni wakali balaa...wala hata sikuamini kama...
Nmeshangaa sana kwa huyu dada mrembo ambaye anakaa kwenye apartment za hapa karibu nami. Si za mwanzao tulionana tulikuwa tunafanya jogging kishkaji tu. Akanisalimia nami nikamjibu kwa pozi za ki...
Habari ndugu!
Kuna baadhi ya wanaume ndani ya ndoa huamua kumwendeleza kielimu/kumsomesha mke wake katika ngazi mbalimbali ili wasaidiane baadae kupambana na maisha!
Lakini tabia za hao wake za...
1. Ni mbea, hakuna skendo iliyowahi kumpita, yuko vizuri sana kufwatilia mambo yasiyomuhusu, huko atapoteza mda mwingi kufatilia mambo ya watu.
2. Ni mjinga, akitongozwa anasimulia, unaweza mpiga...
Hello,
Mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani Morogoro, tatizo langu ni kwamba nilisha tendwa miaka miwili iliyo pita kwa hiyo sipendi kukaa na wanawake huwa na jitenga peke yangu discussion huwa...
Habari za asubuhi wapendwa,
Natumaini ni Jumatatu nyingine ambapo kila mmoja anajiandaa kwenda katika majukumu ya ujenzi wa taifa basi na Mungu awe pamoja nanyi.
Kama kichwa cha habari...
Hii imekaaje wazee mwezi December nataka kufunga ndoa KKKT Mbezi Dar. Sasa watu wananishangaa kwanini sichangishi na wala siwaambii.
Mchungaji wangu ameniambia kazi yake ni kufungisha ndoa hayo...