Hakuna familia imara inayoongozwa na baba dhaifu /baba legelege.
baba legelege sio huleta mateso kwa watoto bali huwa chanzo cha manyanyaso kwa mama watoto wake.
Baba legelege huwa hawezi...
Habari za muda huu waungwana.
Mapenzi ni maisha na mapenzi ni sehemu kubwa ya maisha. Ni vigumu kuyaweka kando mapenzi kwani hata ukifanya hivyo moyo utakuamulia, hivyo basi hatuwezi kuyacha...
Binti mmoja alitoroka kijijini kwao na kukimbilia mjini kutafuta maisha, akarudi kwao baada ya miaka mitano. Na muda wote huo alikuwa kimya hakuandika barua wala kutuma ujumbe.
Siku hiyo ghafla...
Ndoa ya Aziz k na hamisa mobeto ni alama na mfano wa kuigwa kwa sababu 1. Hakuna mwanaume mwenye utimamu wa akili na mwili anaweza badili Imani yake ya dini , mahusiano yake na MUNGU kwa sababu ya...
Salaam jamiiforum
Mungu ni mwema kila wakati naweza kusema hivyo.
Tarehe 13 mwezi wa kumi mwaka Jana 2024 nilipata ajali mbaya sana,tena mbaya mno.
Hakika sikujua kama nitapona haswa baada ya...
Wakuu,
Huyu mwenzetu asijekuwa amepigwa juju hajielewi, maana kwenye video zote namuona akiwa kama zoba fulani hivi, sio mwonekano wa Aziz Ki tuliemzoea, sura yake inaonesha uzoba grade A kabisa...
Wanaume tuliopo hapa JF tafadhali hebu tupeane Maujanja kabla mambo hayajaharibika huku kwa Shemeji yenu kwani nimecheza Faulo / Kumchiti mahala na Kuchoka ile mbaya na kwa dalili zote nizionazo...
Sijui nieleze vip nieleweke vizuri, lakini kwa utafiti wangu ninachokiona Mwanaume anamuhitaji sana Mwanamke kuliko Mwanamke anvyomuhitaji Mume.
Mwanamke kaumbwa kuwa kijakazi, au utumishi chini...
Moja ya tamaduni za kale huko nchini DENMARK ....tamaduni hiyo iliyokuwa inahamasisha suala LA ujenzi wa familia iliitwa “pebermø”.
Inasemekana tamaduni hiyo ilikuwa karne nyingi zilizopita...
Hatuwezi kufanana, mwenye maneno atasuka sentensi zake, mwenye gari atatumia lifti, mkaanga chips atapooza njaa, n.k.
Utanashati una uzito kiasi gani kwenye mvuto
Niende moja kwa moja kwenye mada, siku hizi kupata namba za simu za mwanamke imekuwa ni jambo rahisi sana bila kujali mazingira mnayokutana. Changamoto inaanzia baada ya kupata hiyo namba mtu...
Jamani za muda huu,
Baadhi ya wapenzi wetu muwe mnakata viuno vya wastani wakati wa kusex.
Viuno vikizidi hadi beat tunakosea nawaombeni sana mapenz sio ugomvi ile ni burudani.
Nawasilisha
Nauliza swali tu wanaume .
Nani anawaambia kuwa mimi ni wakuzalishwa bila ndoa naninataka kupunguziwa haja na mtu ??
Jueni hili miaka yenu yote mie nilionwa sifai nanyie nikazoeaa . Halafu kila...
Ilikuwa mwaka 2006 ndio nimemaliza chuo na kuajiriwa kwenye Taasisi moja ya fedha.
Siku moja nikapigiwa simu na mdada, akasema amekosea namba, hakika kwangu alikuwa mgeni kabisa. Kwenye maongezi...
wana JF leo nimeona nilete marejesho
Nasikitika sana kuwa mdogo wangu anajihusisha na mambo ya kishoga yaani mdogo wangu mimi ni shoga daaaah naumia sana nilifanya uchunguzi wa kina nikagundua...
Habari Wakuu!
Imekuwa sasa ni tabia kwa baadhi ya Wanaume wajinga kurusha makombora, vijembe na kejeli kwa dada zetu Single Mother. Wengi wamekuwa wakiwapa maneno ya dhihaka, shutuma na shombo...
Heri ya Maulid waislam wote na nadhani mmekula chakula kitamu nakuenjoy
Eti mtu aliyezaliwa 1989 mpaka 1995 na hawajaolewa mnawaitaje?
Maana nimekuta hii video
https://vm.tiktok.com/ZMh8XnhSP/...
I love u nimekukumbuka ulikuwa unanipa zawadi,mapenzi,vacation,time yako, unanijali kweli.
Pesa umekuwa kila kitu kwangu where are you pesaaa. Where are you.