Habari za leo ndugu zangu?
Nauza tofali za Mwamba tofali ngumu mra 5 ya tofali za block!
ukijenga nazo usitegemee nyumba itapata crack au msuko suko wowote!
Tofali hizi ni ngumu kiasi ambacho...
Kumekuwa na ongezeko la bei kwenye electronics ila nimekuja na suluhisho,
Unaletewa mpka ulipo kwa bei za store au unakuja ila kumbuka bei hii nikikuuzia nitakupa warranty kulingana na product...
Naomba msaada anayejua mashine ya kutengeneza chapati 200 kwa saa, anisaidie. Nimekuwa nikitumia chapat maker ila Haina uwezo huo, sasa natafuta ya kutengeneza chapati 300 kwa saa.
Habari zenu ndug wana JamiiForums,
Kama mada inavyojieleza hapo juu mimi kijana mjasiliamali ninaye jiusisha huduma uuzaji wa vifalanga vya kuku wa kienyeji na chotara wa mwezi mmoja na vilivyo...
Swalama ndugu zanguni?
Huyu mwamba anapika sana pilau, sijui kwa sasa yuko wapi?
Mwanzo alikuwa soko la Kibasila Kariakoo. Soko lilipovunjwa kupisha mradi wa Reli ya SGR akahamia Suwata.
Sasa...
Mashine za kufulia za kisasa zipo karibu yako kwa bei nafuu.
Ni za
kilo 3 - tsh 120,000 tu
Kilo 4.5 - 350,000 tu
Kilo 7 - 560,000 tu
Bei zetu ni nafuu sana mtu yoyote anaweza ku afford
Offer hii...
Wadau..natafuta mashine ya kutengeneza/kukata crips za ndizi. Mashine iwe ya umeme na iwe inafaa kwa mjasiriamali mdogo. Isiwe heavy duty.
Mwenye connection naomba contact za wauzaji.
Wajasiriamali mwaka ndio huo unaanza karibu ujipatie
Mashine tunapatikana mtaa wa masasi kariakoo fuatilia hapa zilizopo dukani
Mashine za juisi ya miwa sifa kuu inakamua na kuchuja yenyewe...
Wale msiojua mnaoingia asala Kila wakati kununua taa za gari ako, mkombozi amepatikana ,
Okoa ghalama za kununua headlight hadi lakin tatu nakuendekea Kwa sh elf 30 tuh!
Hii huduma yakuondoa...
Karibu nikuuzie mbegu bora ya Kambale kwa bei nafuu ya Tsh 300 kwa kifaranga kimoja.
Kambale ni aina ya samaki mstahimilivu na anayefugika kwa urahisi kuliko aina nyingine ya samaki. Mbali na...
Shamba la ekari kumi (10) au zaidi linauzwa eneo la Vianzi, ni umbali wa Km 6 kutokea Vikindu, barabara ya Kilwa, Km 36 kutokea katikati ya jiji la Dar. Linafaa kwa kilimo cha umwagiliaji, kwa...