Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Naitaji pawer bank kuanzia capacity 50000mAh na kuendelea mwenye nayo nayo njoo tufanye biashara au wapi nitapata.
2 Reactions
3 Replies
356 Views
.
0 Reactions
3 Replies
342 Views
Nokia 105 Full box bei ya jumla 22,000. Rejareja 24,000. Zinaingia line mbili Kwa mawasiliano zaidi : 0717 592 165
0 Reactions
0 Replies
429 Views
Huduma zifuatazo zinapatikana kwa watumiaji wote wa accounting package ya tally na kwa wale ambao wanataka kuanza kutumia Kufanya installation ya license mpya Kufanya renewal ya license Ku setup...
0 Reactions
2 Replies
204 Views
Nauza suzuki carry kirikuu ipo vizuri haina tatizo lolote bei 5,000,000/= Dar es salaam temeke kwa mawasiliano 0742100444
2 Reactions
2 Replies
305 Views
Tatizo la kuwa na uume mdogo limekuwa likiwasumbua wanaume wengi hasa vijana! Na hutokea wakati wa balehe kutokana na upungufu wa homoni ya estrogen ambayo ni kichocheo ktk ukuaji wa uume, Tunayo...
0 Reactions
35 Replies
27K Views
Kitabu "Make Money With Affordable Apartment Buildings and Commercial Properties" kinazungumzia njia mbalimbali za kuwekeza katika mali isiyohamishika kwa gharama nafuu. Hapa ni mambo 10...
1 Reactions
1 Replies
417 Views
Nauza saa aina tofauti zenye ubora hakika kwa uaminifu. Karibu Napatikana Tabata, Segerea Mawasiliano: 0677009608
0 Reactions
2 Replies
363 Views
Utapunguza gharama kwa 45% ukitumia mashine ya VFD, hii ni mashine ndogo inayokuwezesha kutoa risti halali za EFD kwa kutumia simu yako ya mkononi, ambayo gharama zake mpaka inakamilika ni...
0 Reactions
13 Replies
665 Views
Je King'amuzi chako kimepoteza CHANNEL?? Au Kuna channel ambazo hazipo kwenye ORODHA?? Unapata Ujumbe wa NO SIGNAL....Usijali piga 0789200181 Fundi aje mpk ulipo kwa gharama ya Tsh 25000/=...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Wasalaam. Naomba ushauri. Natamani kuanza biashara ya kuuza power tools. Power tools ni vitu kama drill machines, hand saws, fyekeo la majani la umeme/ mafuta, compressors , vya kupulizia rangi...
0 Reactions
1 Replies
234 Views
Habari wadau. Ninauza Google pixel 4a. Good condition ✅ 🛜 5g 🗄️Gb 128. 🔋Inakaa sana na charge 📷 Kamera kali 🔥 Location: Dar es salaam. Mbezi juu (kwa sanya) , Goba Road Price; 280,000/=
0 Reactions
8 Replies
438 Views
Ichukue hii! Kiwanja kinauzwa milioni 1 na laki 5 kipo Bagamoyo kipo kidomole Bagamoyo ukubwa wa 30 kwa 25 akipo mbali na barabara ni dakika 10 kufika kiwanja kilipo hatutojutia hata kidogo...
0 Reactions
1 Replies
364 Views
Wengi huamini kuwa kutawanya uwekezaji uhusisha kuwekeza mitaji fedha kwenye aina tofauti tofauti za bidhaa au huduma. Lakini hii sio kweli. Ni rahisi kutawanya uwekezaji kwenye hisa kwa sababu...
1 Reactions
8 Replies
888 Views
Karibu kwa mahitaji ya rim nzuri za kupendezesha gari yako, size tofauti tofauti kwa bei poa kabisa. Tunapatikana Lumumba St, Dar es Salaam Whatsapp/ normal call +255626682228
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Hello, habarini za kutwa wapendwa, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninauhitaji na fremu kwa ajili ya duka la kuuzia nguo na viatu kwa Moshi mjini, kama nitapata maeneo ya kuanzia stendi...
3 Reactions
22 Replies
765 Views
🚙Jeep Grand Cherokee ➡️Limited edition ➡️Make 2014 ➡️CC 3600, Petrol ♨️ECO consumption tech ➡️Auto 4x4 transmision ➡️Push start ➡️Air suspension auto ➡️Cruise control ➡️Auto Idle control...
1 Reactions
1 Replies
308 Views
Wapi napata two bedroom furnished apartment kwa miezi sita. Nataka kuja dar na begi langu tuu. Budget 800k kwa mwezi
1 Reactions
2 Replies
370 Views
(Kushoto Kwenda Kulia) Mheshimiwa Bw. Rohit Vadhwana, Kaimu Kamishina Mkuu wa India, Sharad Malhotra - Makamu wa Rais Mkuu, Nipsea Group, Hardev Singh- Rais na Mkurugenzi (Idara ya Kiwanda)...
0 Reactions
4 Replies
315 Views
Natafuta chuo kinachofundisha ufungaji wa cctv cameras na mambo mengine yanayoshabihiana.Mwenye kujua tafadhali naomba msaada.Kuna sku niliskia kwenye radio wanatangaza bahat mbaya sikujua ni...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…