Amani kwenu wadau,
Ninauza viwanja vyangu ni vizuri kwa makazi, vina ukubwa wa M.40x30 vinapatikana maeneo ya Kibaha Kwa Mfipa - Simbani, karibu na kituo cha kulelea watoto yatima cha mama Anna...
Mashine ya miwa ya kisasa kabisa yenye Kibanda chake na matairi inayotumia jenereta na umeme iko sokoni.Nashindwa kuweka picha mtandao tatizo.Bei 1.65m
Habari wakuu nahitaji Machine ya kufungia vifuko vya nailoni iwe ya kawaida tuu Hata ikipatikana ilio tumika sio mbaya kikubwa ipige kazi 0783935231 tuma msg kwenye namba hii km uko nayo
Habarini ndugu wanajukwaa.
leo nawaletea huu ujuzi mpya wa kutumia rangi kama mbadala wa wallpaper, hii ni sanaa ya kutumia stencil katika kupaka rangi, aina hii ya upakaji rangi hutumia rangi za...
Kama una computer unauza weka specifications zake
1. Aina( Brand)
2. Processor
3. RAM
4. Hard disk
5. Battery life
6. Kma inatatzo lolote
7. mawasiliano na BEI
Tunatoa huduma zifuatazo.
1. Preparation of concept note for academic researches.
2. Preparation of academic research proposals.
3. Preparation of research findings and report...
Habari wana jf!
Kama kichwa cha habari kinavyosema, kama ulikua unahitaji kujifunza web development au computer programming na hujapata mwongozo wa wapi pa kuanzia!
basi pita katika channel yetu...
KARIBUNI TZ MaTaTa collection ni wauzaji na wasambazaji wa brown matata sandls za kike na kiume jumla kuanzia pic 20 napatkana namba 0719818147 piga / whats up namba hii na kama...
Habar,husika na kichwa hapo ninauza VITABU vinne ambavyo ni Physical chemistry (NGAIZA LUSIMA),PURE MATHEMATICS 1&2,REVIEW FOR ADVANCED MATHEMATICS PAPER1.
Mwenye uhitaji anichek kwa namba...
Natafuta aina mpya hii ya machine inayoweza kutoa tofali 2 kwa wakati mmoja.
Yeyote anayefahamu zinapopatikana na bei yake, tafadhali naomba anifahamishe, naihitaji
Habari!! Nauza viwanja Arusha Manispaa karibu na kiwanda cha A to Z. Bei 20m×25m ni milioni 10. Vipo 3 vilivyoungana....umeme na maji ipo...barabara ya lami ipo umbali wa 1Km na kutoka Arusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.