Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habarini jamani, kwa wenyeji wa mkoa wa mbeya wapi naweza pata mbegu bora ya nguruwe wa kufugwa?
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Wakuu, Nina shule ya watoto wadogo na nahitaji kupata t-shirts kwa bei ya jumla. Dar ni maduka gani yanauza hii kitu?
3 Reactions
11 Replies
9K Views
Habari, Nilikua naomba kufahamu/kufahamishwa software inayoweza ku keep record za mapato na matumizi na inayoweza kufungua financial statments za kila mwezi.
1 Reactions
4 Replies
996 Views
Nauza Toyota Mark II Balloon. Ya mwaka 1995, Namba: AMP, 2000cc. Ipo katika hali nzuri na inatembea. Kama unahitaji ni tuwasiliane kwa namba hii: 0785 872 256
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu habari, kuna hekari 12. za muhogo zinauzwa kwa bei ya jumla, laki 5 kwa hekari moja. Ni muhogo baridi mbegu ni ya kienyeji(mwasunga) inayolimwa mkoani Tabora, shamba lipo Usoke-URAMBO...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Aina Celcus full HD,2 HDIM,1 USB na 2 AV support haina tatizo lolote namba 0687 79 46 65 namba ya tigo lkn unaweza usinipate 0713 01 18 78 Bei laki 350 top haina maelewano
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimeona facebook gari inauzwa aina ya prado. Bei iko 12m hiyo nzima kweli. Km 120,000. Wazoefu someni juu ya hii kitu. Pia harrier, kluger
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja kikiwa ni master, dining, sebule stoo na jiko, wakati kwa nje iko na baraza mbili ya mbele na nyuma...kutoka gongo la mboto nauli ya bodaboda ni 1000, sio mbali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HABARI WAKUU,NAITAJI TOYOTA CELICA AU WILLS VS,MWENYE NAYO ANITAFUTE PM
0 Reactions
1 Replies
623 Views
Kiwanja kinauzwa kipo kibaha kwa mfpa ukubwa 25 kwa 25 ml 3,500,000 maongez yapo sehemu tambarare haina shda, mwenye kuhtj anipm inbox maongez yapo
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za kutwa wana jf nahitaji kuhamisha makazi baada ya kuona fulsa huko songea na kodi bado kabisa hadi 11•04•2019. KODI NI 80000 KWA MWEZI NI CHUMBA NA SEBULE KUBWA YENYE UWEZO WA KUCHUKUA...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, Kwa wale wanao fanya masomo ya sheria(LLB/DPL) au wale ambao wanafanya program zenye law ndani. Sasa kapatika Mwalimu Binafsi, aliyeflexible kukufata na kukufundisha muda wa baada ya...
2 Reactions
6 Replies
995 Views
Ilikuwa juzi alhamisi tarehe 04/10 /2018. Nilikuwa na msongo wa mawazo, nilitoa laki NNE, moja nikatoe tena baadae, nikasahau kuichukua. Nawezaje kuipata
1 Reactions
47 Replies
5K Views
NGE SECURITY LIMITED Offers a wide range of Security Services along the United Republic of Tanzania. The company owe distinguished experience on offering the services on public and private...
0 Reactions
3 Replies
767 Views
NINI: Shamba la ukubwa wa hekari 5 linauzwa WAPI: Hekari hizi zipo kijiji cha maji chumvi kilichopo kilomita 20 toka msamvu kuelekea Dodoma, na kilomita 8 toka barabara kuu iendayo Dodoma.Kuna...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
JE UNGEPENDA ARUSI YAKO IWE NA VIONYO VYA KUVUTIA KAMPUNI YETU INA WATALAMU WA KUTOSHA WA KUTENGENEZA KADI ZA MIALIKO YA HARUSI .DOWNLOAD NA UONE MOJA YA KAZI ZETU AMBAZO ZIMEKUWA VIVUTIO KENYE...
0 Reactions
7 Replies
25K Views
Natafuta line ya kununua ya uwakala wa mpesa na tigo pesa, Mwenye nayo naomba tuwasiliane
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwenye kampuni ya kutuma cargo kutokea Dubai /Oman ajitokeze tafadhali mteja nimepatikana
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mwenye nalo aniuzie naitaji used maana bajet imenibana na liwe La ukubwa wa saiz ya Kati lisiwe dogo sana,pm Kwa mawasiliano
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom