Kama kichwa cha habari kinavyosema naitaji mtu ambaye anauza na kubandika wallpaper za majumbani nahitaji aje aniuzie na pia aje kunibandikia nyumbani kama uko apa tafadhali tuwasiliane 0717461661
Ashukuliwe Baba mwenyezi Pamoja na Bosi wetu kwa Kutuamini na kutuchagua Tumhudumie.
Hatimae tumehitimisha
Picha hapa chini ndo nyumba ilivyo baada yakukamilika
Kwa mwenye kuhitaji huduma zetu...
Habari wadau,
Mbwa kwa jili ya ulinzi anauzwa
TYPE :German Shepherd
GENDER : MALE
AGE : 1 YEAR
LOCATION : DAR ES SALAAM
PRICE : 600K
Very active with...
Jipate frig saiz tofauti tofauti kwanzia frig ndogo hadi kubwa chagua kwenye picha frig unayo itaji, mikoani natuma kwa dar es salaam nakuletea ulipo tunapatikana magomeni mikumi dar es salaam kwa...
pikipiki ndogo for sale MCAYT 741, scooter - bagamoyo mjini
.speed 140km/h SANLG ikasome ,
.tairi imara zenye kashata nene
.125cc - haili mafuta kabisa 10000 wiki nzima na zaidi
.ina buti...
VKP Investment ni kampuni iliosajiliwa na serikali inayojishughulisha na mambo mbali mbali ikiwemo uuzaji/ukopeshaji wa Viwanja na mashamba.Inakupa fursa ya kimiliki ardhi kwa mkopo usio na riba...
Hivi inachukua muda gani kupata visa ya Marekani, kwa mtu anayekwenda huko mara ya kwanza? Toka kutuma maombi, kwenda kwenye interview, mpaka kuja kupata (provided docs. zote ziko sawa na hamna...
KARIBU M.I FUMIGATION
TUNAPULIZIA DAWA ZA KUUWA WADUDU WOTE MAJUMBANI, KWENYE OFISI NA MAZINGIRA MBALIMBLI. TUNATOA HUDUMA BORA HUTOJUTIA DAIMA.
call: 0655 166597
: 0766 006509
TUNAPATIKANA...
Wakuu ninawazo la kufungua stationery eneo la gongo la Mboto DSM,japo Mmi ni mgeni kabisa, naomba kama kuna mzoefu na maeneo hayo,kuhusu bei za frem,je panalipa kwa biashara hiyo?na wazo jingine...
Habari Za Sahizi Wana Jamvi Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu Kama Nilivyo Eleza Hapo Juu Nahita Mtu Au Taisisi Itakayo Nikopesha Power Tiller Kwa Ajili Ya Kupanua Kilimo Changu Kwa Mwenye...
Natafuta Paka wa kufuga ninasumbuliwa na panya sana na naogopa kuwawekea sumu maana niliweka sumu ikamuua panya mbwa akala nae akafa naomba msaada kwa yeyote mwenye paka
Kwa anaehitaji kujua hesabu za namna ya kupata size ya
Panel
Battery
Charge conltroller
Inverter
Cables
Vyote hivyo nafundisha kwa kiwango cha juu kabisa kwani ninauzoefu mkubwa katika kufunga...
Kama kichwa cha kinavyojieleza,
Kwa anayejua machimbo ya uhakika na ya bei nafuu kwa hapa Daressalaam ya bidhaa hizi nahitaji kwa jumla;
1. Adaptor original za laptop pamoja na power cable zake...
Twapenda kuwafahamisha kwamba vitabu mbalimbali vilivyoandikwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kikiwemo kitabu cha "Uongozi Wetu na Hatma ya Tanzania" kwa lugha ya Kiingereza, Africa Today and...
Speaker kubwa ya sherehe au tukio, Tsh 150,000/-
mziki mkubwa sana
sauti nzuri sana
infaa kwa matumizi mbali mbali
imara sana
watt 600
Tunapatikana kariakoo, tunatazamana na stendi ya mwendokasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.