Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wanajamvi ,Mimi sio mwenyeji wa mwanza ila nataka niende mwanza wiki hii na nataka nikakae huko mwaka 1 ,ila naomba mniambie bei ya chumba cha kupanga kwa mwanza mjini hasa mitaa ya karibu...
0 Reactions
1 Replies
736 Views
Habar ndugu zangu Tunauza nguo za kiume kutoka Uganda T shirt na jeans jumla na reja reja T-shirts jumla 14000 reja reja 20000 jeans jumla 22 reja reja 30000 had 25000 Mawasiliano 0716666234...
1 Reactions
26 Replies
26K Views
Budget 400k-500k Aina yeyote /spes ntakayoipenda.... upendeleo utakuwa kwa H.p na acer.. mwenye nayo anicheki 0789805698
0 Reactions
2 Replies
446 Views
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea laptop kwa bei ya e-bay ,wewe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari za majukumu, Napangisha Nyumba yangu. Hii ni mara ya pili naleta hili tangazo. Ila kuna baadhi ya vitu vimeboreka. Sifa za Nyumba -Vyumba vya kulala vitatu, kimoja master Dinning...
8 Reactions
137 Replies
18K Views
Tunakopesha mitambo ya Zola kwa ajili ya matumizi ya nyumbani mtambo mdogo wa taa kuanzia shilingi elfu 49 kianzio na kwa mwezi elfu 19 tupigie simu sasa popote ulipo unaletewa 06546-09122
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Fuso Tipper Number CY Inauzwa Bei ni 47-Millions, gari nzima kabisaa inapika kazi kama kawaida
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za Jioni Wakuu, Ni Matumaini Mpo Salama na Mnaendelea Vizuri na Pirika zenu za Kila siku. Nna Hitaji Mtu wa kuniuzia (supplier) wa mayai ya kuku wa Kisasa Kuanzia Trays 50 na Kuendelea...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Napenda kujua kama kuna mdau anayeuza simu aina ya oppo, specifically nataka OPPO FIND X na OPPO F7
0 Reactions
11 Replies
3K Views
kwa wale mliochelewa mzigo uliopita weka oda sasa 0714547830 brand ya Skeleton from Germany kwa 130000 tu NB:Free deriverancy
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Kutokana na Tanzania yetu kuwa kimataifa zaidi kwa kila kitu, mahitaji ya LUGHA YA KIJERUMAN mahitajio ya LUGHA hii ya kigeni pia imehitajika kufikia malengo yetu. Mfano wa mahitajio ni KIUTALII...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Naomba msaada nani anayejua ku unlock simu za kutoka u.s.a zipate kufanya kazi huku Tanzania. Maana nina simu zangu kama 2 za kutoka huko nashindwa kuzitumia huku.! Ahsante!!
0 Reactions
4 Replies
748 Views
Daagaa wa Mwanza unaletewa popote kwa bei poa kabisa
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa wale wafanyabiashara ya mapazia tunapenda kuwataarifu kuwa tunauza kwa jumla na rejareja mapazia ya kisasa kabisa toka uturuki..tunayo majora (bales) za ukubwa tofauti nyepesi na nzito..pia...
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Ina miezi sita tangia inunuliwe Haina scrach Ina rist zake Ina headphone zake hazjatumika Ina box lake Bei 230,000/= Mawasiliano 0674914474 Dar! KARIBUNI
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Jamani nahitaji watu wenyeji wasumbawanga ,,, kuna ishu nataka kuja kufanya huko so nahitaji mwenyeji ... Please kwa ambae yupo huko na anaweza kunipa host Nicheki pm.
0 Reactions
7 Replies
899 Views
Hodii wakubwa zangu,,mm ni mgeni hum ndani ya mjengo,,nitangulize samahani,,naomba mwenye uelewa na bei za cherehan za umeme pa1 na za kawaida anisaidie,,nitashukuru xana endpo nitapata msaada
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nyumba nzuri sana. Ina vyumba vitatu vya kulala, vitatu. Vyumba viwili Master bedroom, Sebule kubwa na dining room, Jiko na stoo. Ukubwa wa kiwanja ni mita 25 * 20. Hivyo kuna eneo kubwa mbele...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom