Kabila ni samsung. For 900000.. tutaelewana karibuni.
Ni kubwa la milango miwili.
Halina tatizo lolote lipo kama jipya.
Mashine ya kufulia ni kilo 6 for 350000
0717622717 or 0776950000.
VIWANJA VINAUZWA,mita 20 kwa mita 20 (HATUA ZA MTU MZIMA 25 KWA 25) vipo MAJOHE -DAR-ES-SALAAM vipo barabarani, Viwanja viwili vya mbele bei ni m.15,viwanja vya nyuma m.14 barabara imeachwa kwa...
Ni mpya haina shida yoyot ile nimeitu siku mbili tu ni portable unawez kuhama nayo popote pale
No horsepower 1.5 ubarid wake ni mkali sana pia ni automatic kuzima na kuwasha kutokana na ulivyo...
Habar wana JF,ninauza eneo la ukubwa wa ekari moja na nusu maeneo mwasonga-kigamboni. Kuna nyumba ndogo imejengwa ya chumba na sebule ambayo bado haijakamilika.bei ni maelewano.nichek pm
Habari wadau. Nauza vitu vifuatavyo kwan ninahamia mkoan. Vitu hivi vipo kmara Dsm.
SUMSUNG FLAT TV LCD 43 TSH 750 ,000 PAMOJA NA STAND YAKE.
Meza ya kioo bado nzuri tsh 100,000/-
Home thetre...
VIFAA VYA SALON YA KIUME VINAUZWA
1. Viti viwili vya kunyolea Tshs. 700,000/-
2. Bench la kisasa Tshs.350,000/-
3.Kioo Kikubwa cha alminium 100,000/-
JUMLA 1.15 Million Tshs (Tshs 1,150,000/-)...
Habari wadau wa JF...
Nauza baadhi ya vifaa vya ofisini hasa kwa watu wenye nia ya kufungua ofisi..
Sababu ya kuuza ni kwamba nimetanua ofisi hivyo nimehamia sehemu nyingine kwa hiyo nalazimika...
Habarini wadau wa biashara ni gari ambayo iko vizuri na inafanya kazi inauzwa million 16 maongezi yapo haipitii kwa dalali mimi ndio mwenye gari sababu nataka kubadili biashara nyingine namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.