Nauza pikipiki aina ya skymark,
Ina documents zote, Nilikuwa naitumia kwa matumizi yangu binafsi.
Sababu ya kuuza: nina hama kikazi
Bei, 700,000
Napatikana Kimara
Habar za humu wadau. Ninauza bajaj kwa bei nafuu. bajaji imetumika kwa mwaka 1 tu. Sifa zake:
Aina ya bajaji ni 4stroke
Imetembea 25800km
Bei 3.5milion
Ina vibali vyote pamoja na bima.
kwa...
Bei tsh 1300,000
Niko dar es salaam
Maelewano yapo
Ilikuwa kwa matumizi ya nyumbani so bado iko katika hali
nzuri
Simu:07182 95 182
---------------------------
Bango
Habari wakuu..
Kutokana na hali mbaya ya kiuchumi hapa mjini nimeamua uza kitanda na godoro nirejee kijijini nikajiajiri
Kitanda ni futi 5 kwa 6 pamoja na godoro Dodoma vimetumika miezi sita tu...
Tunauza pilipili hoho kwa jumla na rejareja.
Shamba lipo Mkuranga, tuna uhakika wa kuvuna magunia 20 yenye kilo 100 kila wiki.
Unaweza kuletewa mahali ulipo au ukanunulia shambani. Pia kama una...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.