Nina swali muhimu, kuna mmasaai yeyote yuko UK anataka dili la ku-shoot tangazo? Kama vipi ni-PM, nitawasiliana zaidi wikiendi kama mambo poa. Sitaki mmasai feki.......dili ni 50/50 nasubiri...
IPhone Original Chargers
25W Adapter
USB C lighting cable
35,000/= Rejareja
16,000/= Jumla
Free delivery ndani ya Dar es Salaam
Tabata Aroma
Mawasiliano
0653776099
0789344956
0767810030
0620249911
✨ Takribani miaka 10 imepita tokea Dunia ipokee ugunduzi wa mjasiriamali mmoja Bw Jamie Siminoff . Yes ilikuwa mwishoni mwa Mwaka 2013 video door bell ya kwanza ilivogundulika na kuingizwa sokoni...
COURSE : TALLY ERP 9
Course Overview
Tally ERP 9 provides a comprehensive solution to the accounting and inventory needs of a business. The package comprises financial accounting, book-keeping...
Kufa kufaana... Karibu dukani kwetu mtaa wa Kalenga karibu na hospitali ya Taifa ya Muhimbili, njoo tukuuzie masanduku ya kisasa yakawaida na yakidijitali kwa gharama nafuu sana.
Sema biashara...
Wadau habari za jioni. Poleni na mvua. Tafadhali naomba mwenye idea ya products za kusafisha makochi hasa haya ya fabric ili kuondoa kiharufu na jasho n.k ambayo ukisasafisha Kochi linawahi kauka...
Kwa matumizi bora ya maofisin na shuleni piah chuoni, hii ni nafasi kwa walimu wa sekondari,pia watu binasfi hasa walioakribu na vyuo pia wanachuo hii ni fursa kwenu
Dunia sasa imebadilika sana...
✨ Takribani miaka 10 imepita tokea Dunia ipokee ugunduzi wa mjasiriamali mmoja Bw Jamie Siminoff . Yes ilikuwa mwishoni mwa Mwaka 2013 video door bell ya kwanza ilivogundulika na kuingizwa sokoni...
Nauza gari, Suzuki Escudo.
Year of manufacture 2006. Ukubwa wa Engine CC 1990. Reg No. BVK.
Imetembea 185,000 kms. Ipo katika hali nzuri sana. Imekuwa ikiendeshwa na mtu mmoja tu mwanamke...
Karibuni wateja wetu ,
Tunayo mashamba na viwanja maeneo yafuatayo ,
Kiteto tunayo mashamba kwa bei nafuu inaanza laki saba mpaka ml 1 na laki moja , hayapo mbali na mji huduma zote zakijamii...
Kwa Bajeti ya Tanzania shilling elfu hamsini naweza kupata wapi chumba standard ambapo nitapanda gari moja mpaka mjini na kuweza kurudi night kali bila hofu ya vibaka.
Natanguliza shukurani.
Kijana lazima upambane! Natafuta vijana wawili(02) ambao wako Dodoma niwasaidie wajifunze udalali, wapambane kupunguza ugumu wa maisha.
-Utachagua wewe kati ya magari au nyumba+viwanja ama vyote...
Kiwanja kinauzwa KITUNDA DAR ES SALAAM, kiwanja hiki ni kikubwa mita 30*40 bei milioni 23 tu...!
Unaweza ukajenga nyumba 2 za wastani... na car parking kidogo ikabaki. Barabara ya mtaa inafika...