Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Habari Tarehe 4 April Nina safari ya kwenda Ifakara na mgeni wangu. Tunaenda ifakara,kutembelea baadhi ya project tunalala na kesho yake kurudi. Nahitaji usafiri 4 wheel,dereva mzoefu na bei ya...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Chereani ya kudarizi inauzwa bei ya kutupa.iko poa wala aina tatizo lolote lile.kwa mawasiliano, Ipo Dar. Bei Tsh 450000/= Mawasiliano÷ 0652868486
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Karibu Tunahusika na utengenezaji wa *Mabango *vipeperushi *kadi za namba za simu *Makava ya nyimbo *Kadi za mialiko za kisasa Njoo whatsapp Nehemix tz
1 Reactions
0 Replies
228 Views
Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 12/4/2024) 🔹 Awe amemaliza kidato cha 4 au zaidi. 🔸ANAEJUA HESABU. 🔹Umri miaka 25 au zaidi. 🔸AWE ANAISHI MADALE, WAZO, KULANGWA, TEGETA au...
3 Reactions
1 Replies
373 Views
Samsung galaxy s22 ultra Gb 512 Ram;Gb12 Unapewa na charger yake original Simu haina tatizo lolote Simu ni Original na ni nzima haina tatizo lolote. Bei ni Tshs 1.5 millions 0689 150 968 0625...
0 Reactions
4 Replies
556 Views
Habari zenu Wana JF ...nashida na mawasiliano ya wafanyabiasha ra wa nafaka Aina mbali mbali ikiwemo mchele,karanga,mbegu za maboga,ulezi, na n.k wawe na bei rafiki ili nami niweze kufanya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kiwanja kizuri kinauzwa maeneo ya kifuru kisopwa ukitoka stand ya mbezi mbezi unashukia kifuru unachukua bodaboda au bajaji hadi site. Kina ukubwa wa 23m x 20m maji yapo yakutakata, umeme upo...
1 Reactions
4 Replies
464 Views
Dell imetumika kwa mwezi mmoja tu Core i3 10th Gen Hard disk 1TB RAM 12GB Battery: 3+ Running hrs Display size: 15.6' FHD Bei Tsh.480k Mawasiliano 0621973591 Dsm.
1 Reactions
24 Replies
938 Views
Unahitaji kuwa na kiwanja hatua inayofata nikutuona sisi wataalamu wa uchoraji ramani zakisasa za nyumba ya ndoto yako kisha utapata vibali vya serikali na kuanza ujenzi wasiliana nasi sasa kwa...
0 Reactions
1 Replies
360 Views
TOYOTA PREMIO Manufacture Year: 2005 Engine Capacity Cc: 1790 Mileage: 90,000km+ Engine Code: 1NZ Fuel: Petrol Standard features: Clean interiors 4-SRS Airbag New tyres Transmission: Automatic...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Fridge imetumika wiki 3. Inauzwa tsh.700,000/= Inagandisha, Inapoza na Ina water dispenser. Ipo Tegeta. Kwa mawasiliano 0753166010
0 Reactions
2 Replies
461 Views
Habari wakuu. Kinahitajika Chumba na Sebule cha kupanga jijini Dar es Salaam maeneo yoyote lakini upande wa Mbezi mpaka ubungo na njia ya Goba. Budget ni laki moja kwa mwezi. Karibu PM kwa...
1 Reactions
0 Replies
379 Views
Offer offer offer Kwa 260,000/= tu mzigo mpyaaa kabisa KARIBU #TUKUSHAURI NA #KUKUELIMISHA KABLA YA KUNUNUA KWA ODA NA MAELEKEZO ZAIDI TUPO #KARIAKOO DAR thegreatsolar@gmail.com...
0 Reactions
1 Replies
572 Views
KWA HUDUMA BORA YA MASUALA YA GAMES,KARIBU SANA SKYGAMES 0710701361 TUNACHIP NA KUWEKA GAMES KWENYE PS4 PS3 NA PS2.PIA KUNA PC NA XBOX GAMES NYINGI SANA ZA KUTOSHA. FIFA14 PATCH 24 OFFICIAL KWA...
0 Reactions
0 Replies
453 Views
Habari za jioni wanajamvi, Kumekuwa na woga au maswali kwa wadau wengi yanayowapa ukakasi kuwekeza katika sekta ya kilimo hasa kutokana na wimbi la upatu au kilimo ambacho hakieleweki uelekeo...
5 Reactions
44 Replies
7K Views
IFAHAMU BIASHARA YA AMAZON FBA. Fulfilment By Amazon (FBA). 1.AMAZON ni nini? AMAZON ni kampuni inayohihusisha na uuzaji wa bidhaa kwa njia ya mtandao yaani mteja atachagua bidhaa anayoiitaji...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa Kigamboni karibu na Hamidu City. Kiwanja kina hati, kimezungushiwa fensi na kina ukubwa wa Square Metres 4000 (Eka moja). Umeme na maji vipo. Bei Milioni 250, maongezi yapo. Ni...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Nina kieneo changu maeneo ya songea, msamala/ mkuzo kuna kibanda naitaji kukiuza kwahiyo nilikuwa naitaji anaowafahamu madalali wa mji huo wa songea aniunganishe nao zoez likifanikiwa chochote...
1 Reactions
7 Replies
492 Views
Jipatie mayai mazuri ya chotara, makubwa kwa shilingi 15,000 tu kwa trei. Yana kiini cha njano na ni mazuri sana. Napatikana Dodoma, karibu sana unayehitaji.
1 Reactions
1 Replies
443 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…