Welcome to BRYTE SKY LINKS! BSL is specialized in providing you quality and on-time services. Our goal is to ensure excellent customer experience, and offer innovative tools to simplify your...
Wapendwa wanna JF popote mlipo Tanzania karibuni mjipatie miche mbali mbali kutoka mkoani Morogoro na tuna kusafilishia popote ulipo Tanzania miche ipo ya kila aina na iko ya muda mfupi na ya muda...
Namshukuru Mungu kwa neema zake nimehamia kwangu.
Changamoto ni ka usafiri kangu kanalazwa nje!
Nilikuwa naomba mwenye kujua bei ya "alarm system" ya kupiga makelele kwa saana mtu akiigusa...
Kuna machaguo mbali mbali ya Cctv Camera mfano HIK VISION,Dahua, nk ila Leo Ninakuletea chaguo jipya sokoni na hii ni "Ezviz"
Yes
"Ezviz" Wametoa Cctv Camera zisizohitaji waya Wala vifaa vya...
Creating a safe environment for you during construction period with
our Scaffolding and Formworks materials.
We are hiring the formworks and scaffolding for usage of suspended Slab, beam columns...
Dar es Salaam, Tanzania
nauza min projector - 200,000/= (used)
200,000 TZS
inatumia flash, memory card etc
nauza min projector - 230,000/= (used)
imetumika kidogo sana (2 manths)
haitoa sauti ila...
Nauza Pvc trunk used ziko za aina mbili 150mm×50mm dukani 18k mimi nauza 9000 na 50mm×50mm dukani 9000 mimi nauza 6000. ukitaka zote nauza kwa 6000 ziko 20. Karibu niko Dar 0744117116
1
Habarini,
Kwa wale wafanyabiashara, wafanyakazi, wajasiriamali haswa mliokuwepo mkoani hata ambao mpo ndani ya dar es salaam ambao mlikuwa mnapata shida kuagiza kitu au bidhaa yeyote...
Habari zenu. tunapunguza asset ofisini kama zifuatazo:
Asset hizo na bei zake kama ifuatavyo:
1.Pressure washer tzs 150,000 (laki moja na hamsini elfu)
2.Tube filler -mashine ya kujazia...
Kumekuwa na changamoto ya ushughulikiaji wa mambo mbalimbali ya kupata taarifa, ufatiliaji, na ujuaji wa bei ya bidhaa fulani kwa jiji lako pendwa la Mwanza
Nipo kukusaidia kutatua changamoto...
Laptop Hp m42mobile thin client
Processor AMD Pro R6,10computer
Slim laptop [emoji736] nyembamba yakisasa
core 4C
Ram 8
Hard disk 500
Chaji 4hours
Graphics card Gb1.5
Bei 430000 tu
Kitabu hiki kimeandikwa na muandishi Hammie Rajab, chapa ya kwanza ilitoka mwaka 1986. Karibu kwa kusoma.
UTANGULIZI
Luteni Maige anazusha balaa la kutaka kumuua kiongozi wa nchi na kukimbilia...
Halmashauri ya manispaa ya Mtwara imetenga maeneo mengi kwa ajili ujenzi wa viwanda, hospitali za kisasa, vituo vya michezo, hoteli za nyota tatu, n.k. Maeneo hayo ni kama ifuatavyo:
(a) Ujenzi...
Utateseka kuuziwa majiko ambayo hayadumu mpaka lini? Hamia Jiko Bomba Leo....
Sifa za majiko yetu
1. Yame tengenezwa kwa chuma kizito, ni imara na yana dumu sana...
2. Unaweza kutumia mkaa...
Unahitaji kuongeza kipato chako chaguo sahihi ni kununua mashine za ice cream na chockstick
Mashine za ice cream million mbili na laki sita inazalisha lita kumi kwa dakika 20
Mashine za...