Habari Wakuu,
Nina kijana wangu amejiunga NIT ngazi ya cheti(HR). Naomba chumba cha kupanga (single room) ndani ya kata ya mabibo au maeneo jirani.
Piga 0713 039 875.
Hii TV imevunjika screen kwa bahati mbaya, sasa kwa yeyote ambaye anaweza kuichukua akabadilishe kioo karibuni nasikiliza offer zenu.
Call: 0684 848 801
Karibuni wadau
TV ipo Dar es Salaam...
Habar wana Jf;
Kama kichwa habari kinavyosema nauza laboratory reagents pamoja na laboratory equipments kwa shule za sekondari, vyuo vikuu, taasisi za afya,mashirika ya kiserikali pamoja na yasiyo...
Ofa ya leo tu
Busines card kudesign free (bure), endapo utataka kuiprint itakugharimu Tsh. 10000 tu kwa pc 100
Taarifa muhimu kwenye kutengeneza business cards za CCM;
Jina
Cheo
Namba ya simu...
Habari wadau
Nahitaji application ambayo itasaidia kurecord stock movements kwenye maduka yangu mawili.
Moja ni Head office na moja ni branch.
Yaan mtu anaye uza kwenye branch ,taarifa zote...
Nilalalapo na niamkapo naona biashara pekee itakayoweza nfikisha pale napopataka ni biashara ya simu, idea yangu imejikita zaidi katika uuzaji wa simu ndogo kwa kuanzia, hii ni kutokana na udogo...
Habari zenu wanajamvi nimekuja jukwaani kutangaza nafasi kama wewe ni muwekezaji au mfanyabiashara ofisi ipo na kila kitu ni ofisi ya uwakala wewe njoo na mtaji wako na kodi ya miez 6 ikipungua...
Karibuni mjifunze Kingereza hata kwa wale ambao wameshia darasa la 7 usiwe mnyonge njoo ukutane na mtaalamu wa Lugha.
Nafundisha kwa njia zifuatazo;
1.WhatsApp.
2.Google meeting.
3.Zoom.
NB:
Pia...
[emoji616][emoji616][emoji616]PUNGUZO LA BEI KWA UCHIMBAJI WA VISIMA VIREFU. [emoji94][emoji94][emoji94][emoji94][emoji94][emoji1630][emoji1630][emoji1630][emoji1630]
Tunatumia mashine za kisasa...
Kwa wale wanapenda kutumia business card kwenye Biashara zao. Tupo kwa bei rahisi kabisa tuna design tunapanga tunatuma soft copy unaprint kwa bei chee kwenye machimbo yako!
Karibu Sana namba...
Habari wakuu.
Nataraji kufanya biashara ya kuuza dagaa wa wakavu wa mwanza,Vijiji gani naweza kupeleka dagaa na nikawauza kwa bei ya jumla?
Ama hata isipokuwa kuuza kwa jumla ama reja reja...
JISAJILI SASA UWT - KIGANJANI KWAKO
Jisajili kuwa MWANACHAMA WA UWT kwa kutumia Simu Janja (Smart phone) Yako popote ulipo mkononi Kwako.
#UWTJisajiliKidijitali
FUNDI UMEME.(Wiring za umeme)
-Tunafanya Wiring za umeme kwa gharama nafuu sana.
-Ikiwa umefikia stage ya kuweka miundombinu ya umeme kwenye Jengo lako wasiliana nasi, Kumbuka stage ya kwanza ni...
Ndungu Wana jamii forum nahitataji kujua kwa mwenye kufahamu mm ni mfugaji na nahitaji kufahamu soko la bata bukini nasikia wachina wananunua au kwa mwenye connection ya mahitel Anipatie nami...
Umeshawahi kukutana na mteja alafu haujui utaongea naye nini ili uuze kwa wepesi bidhaa yako?
Au umekutana na mteja alafu ukaongea naye kuhusiana na bidhaa yako lakini mwisho wa siku anakwamba...
Habari, nyumba inapangishwa mwanza maeneo ya Butimba mtaa wa Amani,ina chumba kimoja na sebule, maji na umeme ni Tsh.60000/= kwa mwezi. Yaani kwa miezi sita ni Tsh 360000/= tu.
Ipo ndani ya fensi...
Kiwanja nakiuza mil 5( maongezi yapo)
Ukubwa wake ni hatua za miguu 25 upana, 25 urefu.
Kipo Nyashishi nyuma ya Mwabebeya shule ya msingi, documents zilizopo ni karatasi ya serikali ya mtaa Bado...