Salama Wakuu?
Nina bati 13 za ALAF zimebaki baada ya kupaua naziuza, 11 ni za mita 3 na 2 ni za mita 3.3 nina kofia 1 na valley 1 zote ni charcoal grey na aina ya bati ni Versatile, zina kama...
Habari wakuu,
Natafuta shamba kubwa ambalo limeshawai kulimwa au tambarare ambalo litakuwa rahisi kulimwa kwa mikoa niliyo orodhesha hapo juu.
Siitaji shamba ambalo lina miti maana kuondoa miti...
KILASILO GUEST HOUSE INAUZWA
Specifications;
9 rooms self contained zote
Fence eneo lote + gate
840m² eneo
Kisima (120m) maji muda wote
Dawasco pia maji yapo
Kutoka barabara kuu ni 600M
LOC...
Habari zenu wapiganaji, nina kibali cha kuandaa Mkaa kutoka shambani kwangu gunia 700, mm naziuza kwa kila gunia shilingi 10,000 kutokea shambani. Gharama za usafirishaji ni juu yako pamoja na...
Wandugu habari ..Nina MAHINDI nayauza Niko na GUNIA 50, kila GUNIA nauza Tsh 80,000 hali imekuwa mbaya sana naomba wa kunisaidia kuyanunua Kwa harakaharaka, shamba Liko Tanga, Kwa maelezo zaidi na...
Habari wakuu.
Nauza Tank langu KIBOKO LITA ELFU 3. Bado jipya tangu ninunue Lina miezi 7 nahofia kuibiwa maana mlinzi WA site hatulii kazini nahofia hasara mara mbili Bora nipate hasara moja ya...
Katika enzi hii inayoongozwa na maendeleo ya kiteknolojia, suala la usalama katika sekta ya kilimo na biashara zinazohusiana nalo limepewa umuhimu mkubwa. Kamera za CCTV zimekuwa zana muhimu si tu...
Kwa wanao itaji vyumba magomeni vinapatikana. Vinasifa hifuatayo.
Chumba na sebule, chumba ni self container. Maji Massa 24/7, gipsum, ukubwa 12 ×12. Kwa mawasiliano nicheki.
0625511737.
Habari za muda huu wana Jamiiforums, nisiwachoshe mwenye min pocket wifi ya 4G inayoingia lain ya halotel au lain yoyote ile anicheki tuongee biashara namba 0621 074 991
Habarini wanajamvi..
Kwa mahitaji ya samaki wabichi kutoka maji baridi karibuni sana.. Tunauza kwa bei ya Jumla na rejarereja..
Kg 1 unapata kwa 11,000 na bei inapungua kadri utakavochukua kilo...
HUDUMA ZETU.
1. Tunafunga mfumo wa umeme majumbani na viwandani
2. Tunafanya maboresho na marekebisho ya mifumo ya umeme
3. Tunafunga Backups za Generator na Solar
4. Tunatoa ushauri na kusimamia...