Shamba kubwa linauzwa Maeneo ya Vigwaza Kibaha(Coast) lenye Ukubwa wa Hekta 28.13
SHAMBA hilo linagusa Rami iendayo Morogoro.
SHAMBA hilo linaumeme Mkubwa wa Viwanda 33kv na Maji ya kutosha...
Je, wewe ni mmiliki wa gari binafsi, bodaboda, bajaji, au una biashara yenye magari mengi? Tracking ya magari sio anasa tena β ni haja!
π Kwa Mmiliki Binafsi:
Jua chombo chako kiko wapi 24/7...
Utangulizi.
Idadi ya mipango miji na vijiji kina kitengo cha upimaji na ramani. Kitengo hiki kimepewa jukumu la;-
β Kupima ardhi na
β Kutayarisha ramani (survey plan) za miji na vijiji.
Ramani...
Kufokasi ni msingi mojawapo muhimu sana sana kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo. Bila kufokasi kwenye maeneo nitakayoainisha hivi punde haiwezekani kujenga himaya ya utajiri kwa wakati muafaka...
Habari wakuu!
Nina dagaa nyama wengi Sana kutoka Tanga,naomba munijuze wapi Kuna SOKO la uhakika kwenye mikoa yetuu.Pia wenye uzoefu wa biashara hii kwa mikoani.
Location: Songea Mjini (Mateka)
Ukubwa: nusu hekari
HATI miliki IPO
Umeme, maji
Bei ni 6 million
Contact: 0758234233
Mbeele
..
,.
NYUMa
Umbali ni kama dakika 5 tu Toka Songea Mjini(Usafiri
Wakuu ninauza TV tajwa hapo juu ni yangu mwenyewe
Vipengele:
Mfuniko wa remote haufungi hii niliuziwa hivihivi kwa sababu wakati nanua remote ilikuwa kwenye kimfuko chake so sikugundua hadi...
1. Singapore International Graduate Award (SINGA)
https://opportunityportal.info/singapore-government-singa-scholarship/
2. Deakin University Scholarship...
Habari za wakati huu wana jamvi,Ninauza kiwanja maeneo ya kigamboni kisarawe 2 chenye ukubwa wa sqm 838 kipo mita chache sana kutoka barabara kubwa (dakika 5 kutoka uwanja wa mpira cha Yanga &...
naomba kuuliza wakuu hii piki piki ni inzuri sio kimuonekano apana perfomance yake kwenye barabara korofi na lami? pia vifaa vyake na mafundi wakawaida wana zitengeneza?
Nokia yangu naiuza nami nisherekee Mapinduzi kwa wali nazi. Bei 19000/= Tshs,yaan elfu kumi na tisa tu.
Inakaa na chaji mpaka unaboeka. Nipo Kigamboni kwa steven hapa.
Piga simu moja 0625697394...
Habari mdau,
Kama upo Mbeya, Nanenane au Tukuyu inajishughulisha na duka la pembejeo na una mbegu za Mchongoma kwa ajili ya fensi.
Tokea chap nikupe dili.
Asante.
MIZANI YA KUPIMIA MADINI ZINAPATIKANA
TUPO DAR ES SALAAM, tunadeliver bure Dar es Salaam.
Bei ya OFA Tshs. 50,000 badala ya Tshs. 60,000 (Tunadeliver Bure Dar es Salaam)
Pia tunauza kwa bei ya...