Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Karibu ATR CONSTRUCTION CO LTD, tunafanya Design ya ramani, kufanya makadilio ya gharama ZA ujenzi, na kufanya ujenzi kabisa. [emoji625]Ofisi ZETU ZIPO UBUNGO NHC NR UBUNGO PLAZA-DAR TUPIGIE...
0 Reactions
0 Replies
404 Views
Samahanini wajumbe ila nlikua naulizia sehemu wanauza mbegu za michongoma na bei yake ikoje?naweza kupata msaada wa contact za wauzaji
1 Reactions
17 Replies
11K Views
Nauza piki piki ya watoto Electric quadbike 4×4 Inatumia betri ya kuchaji na umeme,(12v) Music system (USB,memory card,aux,children songs and tales) Inafaa watoto wenye umri miaka 3-10 Price...
1 Reactions
426 Replies
24K Views
Nakodisha gari aina ya nissan patrol gr kwa matumizi private na tour mawasiliano 0745434945 Gari ipo Dar
1 Reactions
5 Replies
534 Views
3 Rooms with A/C Servant Quarters Available 600,000 per month > Unfurnished 900,000 per month > Furnished Dm your offers, tufanye biashara.
6 Reactions
16 Replies
796 Views
Mimi ni mbobezi katika kutafuta location za biashara kwa wenye mitaji. Niko DAR ES SALAAM Kona zote nazijua Comment mtaji wako nikupe wazo la biashara n'a location au nuchek pm
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Hello Ndugu zanguni, Nilikuwa natafuta Mwani wa bahari, wapi naweza pata ni kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Asanteni sana mkuu.
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Ipo Tegeta Dar es salaam, haina tatizo lolote. engine ipo safi na nimeifunga mwaka jana mwezi wa kwanza,.hapo ni kuwasha na kuondoka. bei ni 35 milioni hakuna dalali, ni mimi mwenyewe hivyo...
1 Reactions
0 Replies
416 Views
Katika enzi ya teknolojia, ulinzi na usalama wa data zako ni muhimu zaidi kuliko hapo awali. Picha, nyaraka muhimu, na mafaili ya kazini vyote vinahitaji kutunzwa na vizuri kuwa na backup. Na USB...
1 Reactions
0 Replies
288 Views
Car GPS tracker GPS ni kifaa cha kisasa kinachotumia teknolojia ya Global Positioning System ili kubainisha kwa usahihi eneo la gari kwa wakati halisi. Kifaa hiki kimezidi kuwa maarufu kutokana na...
0 Reactions
10 Replies
972 Views
Tv ni frameless full box ni mpya mwenye kuitaji anicheki +255 655226738
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Nauza kiwanja Kibamba Gogoni Dar, ukubwa wa mita 20 kwa 20, umbali wa km 1 toka stand /Morogoro road, miundombinu ya maji na umeme pamoja na barabara vipo. Bei ni 8 millions(mazungumzo yapo)...
1 Reactions
3 Replies
696 Views
Iwe Dsm Iwe Kigamboni, Changanyikeni, Kawe, Makongo Juu, Mbezi Beach, Goba, Salasala, Tegeta, Wazo, Mbweni, Boko, au Bunju. iwe na eneo la kutosha iwe inafikika kwa gari (gari iingie hadi ndani...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Nyumba/apartment ya kupanga nje ya mji inahitajika HARAKA maeneo yote ya Kigamboni, Bunju, Mbweni, barabara ya Bagamoyo Iwe na vyumba 3 at least 2 self-contained, Lounge , Dinning Iwe nje...
1 Reactions
8 Replies
821 Views
Nyumba inauzwa viwanja viwili ndani ya fence . Vyumba vya Kula 2 self Chumba Cha Kulala Cha nje 1 Sebule na dinnning Public toilet Fence Eneo 57*35 Location. Bendera tatu / Kona ya mzungu Price...
1 Reactions
7 Replies
543 Views
Wadau habari zenu. Nahitaji nyumba tajwa hapo juu kwa budget ya 150k mpaka 180k iwe ndani ya fence luku ya kujitegemea tafadhali. Ikiwa kuanzia Moshono Corner/Kilimani mpaka Siara itapendeza...
2 Reactions
2 Replies
326 Views
Mwenye hiyo subwoofer nahitaji tu exchange nimpe Seapiano sp 616 Ina miezi miwili tu Naongeza na hela elfu 90. 0756412380
3 Reactions
0 Replies
521 Views
Tunafundisha masomo ya ziada kuanzia baby class Hadi kidato Cha tatu. Mwanafunzi atafuatwa Hadi nyumbani kwa ajili ya kupatiwa huduma hiyo kwa bei nzuri. Hivyo kama kuna wazazi wanahitaji huduma...
1 Reactions
0 Replies
381 Views
TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD) NI NINI.? Gastroesophageal reflux disease (GERD); ⚫ Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid)...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari za leo ndugu zangu, kwa yeyote ambaye atahitaji chai au chakula kwa ajili ya staff, saiti members, sherehe ndogo, mtu binafsi, kampuni, asisite kuwasiliana na sisi +255758131425. Tunapika...
0 Reactions
11 Replies
524 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…