Salamu kwenu wanajukwaa.
Huu ni uzi mahususi kwa kile nachokifanya nitakuwa nikishare nanyi kazi nazozifanya kwa kadri nitakavyoweza lengo kuu ni kutoa elimu na kupata connection mpya za kazi...
Kuuza Kiwanja/Shamba/Jengo Kwa Hamasa Kubwa
Hamasa ya muuzaji ni kile kinachomsukuma mmiliki auze ndani ya siku anazotegemea. Hamasa inaweza kuwa moja ya mambo yafuatayo:-
✓ Kutalakiana kwenye...
Gari zinauzwa bei kitonga na mazungumzo yapo Harrier Lexus 12,000,000/=,Benz na Crown Majester Blue 9,000,000/= kila moja na White Majester 8,000,000/=
Karibu tuzungumze 0777949284
Wakuu,
Nasikitika kutangaza kufungwa kwa Jukwaa la Dini.
Malalamiko dhidi ya jukwaa hili yamekuwa mengi na moderators hawataweza kuvumilia kero zinazotokana na malalamiko haya.
Ukweli ni kwamba...
Nimwanafunzi wa mechanical engineering.... Na design motor za DC na AC ...kwa maelewano ....nazingatia ubora na mahitaji husika....
Mawasiliano
+255715797533
+255766047815
Hata kabla sijatangaza kuwa naoa, nilikuwa na hofu kuhusu Ma X zangu wawili, nilijua kutokana na Ukaribu wa familia zetu lazima habari zingewafikia na lazima wangekuwepo siku ya Harusi yangu...
Habari Wadau wa jukwaa la ujasiriamali.
Nina shamba la hekari 20 nataka kulilima kwa kilimo cha umwagiliaji ambao tayari nimeshachimba kisima. Sasa natafuta pampu nzuri yenye ubora mzuri wa...
Mmiliki wa gari aina ya Toyota IST mwenye shida na fedha ya haraka, namba zinazonzia
DP..DQ..DR....DS...na kuendelea anicheki inbox bajeti yangu ni Tsh.8.5mil.
Tafadhali madalali habari ya...
Habari wanajf, msaada tutani mwenye kufahamu napoweza kupata mtu anayetoa gari kwa mkataba au kama muhusika yupo humu naomba anisaidie, experience ipo ya zaidi ya miaka miwili tutakubaliana...
Habari ,
✨✨✨✨✨
Nawaleteeeni fremu ya kupangisha mahususi kwa biashara yoyote ile mfano saluni ya kike , mgahawa wa chakula , duka , mini-market au any designed business
Fremu ni kubwa kindani na...
Wakuu katika kucheki kwangu fulsa mtandaoni nikakutana na hiyo kitu tajwa hapo juu, as a Professional painting artist, nilipendezwa Sana na kazi za Sanaa zinazofanywa ndani yake, ikapelekea niwe...
✓Watumiaji wengi wamejikuta wakiingia kwenye matatizo makubwa kwenye gari zao kwa kusababisha wao wenyewe bila kujua...!!!
✓Kivipi? Gari nyingi za kisasa Huwa zinatoa taarifa ya changamoto ya...
Mabosi kwema? Humu wengi wenu najua mna nyumba mnataka kufanyia finishing ila mna maswali juu ya garama za kwanzia skimming hadi rangi. Kwa kifupi nianze kwa wale wa chumba kimoja ambao hawamudu...
Msaada ndugu zangu wafanyabiashara hasa wenye maduka ya simu.
Naulizia yale makabati ya simu ya kampuni yanayowaka huwa ni bei gani na yanapatikanaaje?
nasikia hayauzwi ni kama mafriji ya...
MUHIMU: UPDATE
MABADILIKO YA VIWANGO VYA KODI NA MENGINEYO KUANZIA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
Katika makala hii ya kodi, sehemu ya pili kuna mabadiliko ya viwango vya kodi ambavyo vimerekebishwa...
Nauza Subwoofer aina ya mrUk UK21T23 kwa bei ya Tshs 110,000
Nimeitumia kwa muda wa miezi 3 tu bado ina upya wake na boksi lake pia bado lipo
Haina tatizo la aina yoyote na haijawahi kwenda kwa...