Habari zenu wakuu...
Napangisha eneo la biashara lipo mwenge karibu na geti la kuingilia stendi inayojengwa (karibu na ilipokua tamari hotel)
Hili eneo nlipangishwa kama eneo la wazi...
Habari , nauza simu tajwa hapo juu ipp clean mpya ,, sifa za hizi simu picha zake zipo clean as reality...for more ni cheki 067270132...pia po moshi KCMC
price 360,000...RAM 6 GB, INT.64 GB
Kutokana na uzoefu wa muda mrefu katika ufundi wa computers (software and hardware) hapa kariakoo nimeona niwasaidie wadau humu wanaosumbuliwa na matatizo ambayo pengine wana uwezo wa kuyamaliza...
Kwa mahitaji yako ya asali mbichi …
Asali hii kutoka katika msitu wa Kigosi … ni asali salama sana kutokana na kuvunwa mbali na makazi ya watu kwa zaidi ya Km 50…
(Organic Honey)…
Bei zake ni
~...
We are selling spear parts of machines like, Motor Graders, Excavators, Dozers, Rollers, Wheel loaders & Backhoe Loaders. Specifically these brands CAT, KOMATSU, SHANTUI, HITACHI, CASE, HYUNDAI...
Habari za Wakati Huu
Je unahitaji Nyumba,Viwanja,Mashamba n.k. Ndani ya Kigamboni katika maeneno ya Vijibweni,Kibada,Kisota,Gezaulole,Cheka,Kimbiji,Mbutu na Maeneo ya Jirani na Hayo?
Usisite...
Nauza tv za mtumba kumpuni tofauti tofauti kuanzia Philips, Sony, lg, Hitach na mengineyo. Bei zetu kuanzia 440,000___450,000 nakuendelea.
tupigie humu 0715 378899 au0687558785
Hiki ni kiwanja kilichopimwa kwasasa kipo kwenye mchakato wa kupata hati wilayani Kibaha. Kiwanja kipo Vikawe-maeneo ya Miwale...kina SQM 2538. Kipo eneo zuri sana hakipo bondeni, kimepakana na...
Habari za jioni.
Karibuni kununua kiwanja chenye nyumba ndani, kipo fenced.
Eneo ni Buguruni Kisiwani.
Bei ni millioni 70.
Kwa atakayependelea awasiliane kwa namba 0784307401. Huyu ni mmiliki...
Watanzania na Wadau mbalimbali wa Ujenzi watakiwa kujitokeza kwa wingi katika Maonesho ya DAR CONSTRUCTION EXPO, ili kujifunza, nakuona Teknolojia mpya itakayopatikana katika Sekta ya Ujenzi...
Kuna msururu wa mafundi wengi ambao wamekuwa wakiwashauri wamiliki wa magari au wao wenyewe kuondoa thermostat katika gari bila kujua umuhimu wa hicho kifaa hasa pale gari inapoanza kuoverhit...
Hii ni Diagnosis ambayo inacover mifumo yote ya gari yako tofauti na OBD2 ambayo kwa mashine nyingi huwa inacover tu faults za engine japo ilitakiwa kucover power train yote(Yaani Engine na...
Tuzungumze kidogo kuhusu Oil za Automatic Gearbox.
Kuna makundi makubwa mawili ya Oil za Automatic Gearbox(ATF).
1. Standalone ATF
2. Universal ATF
Hebu tunagalie moja baada ya nyingine...
Habari za muda huu wapendwa,
Napenda kuwakaribisha wote mnaotumia au mnaotarajia kutumia bidhaa zitokanazo na miti ya michikichi kama vile;
MAWESE (PALM FRUITS OIL) - hii ni kwa matumizi ya...
HABARI ZA MAPUMZIKO
NINAUZA KIWANJA CHENYE UKUBWA WA MITA 16-13, KIWANJA HIKI KIPO JIJINI DAR ES SALAAM, ILALA , CHANIKA NYEBU
KIWANJA KIPO KARIBU NA BARABARA YA MTAA, NA UMEME UPO,
KUNA...
Habari,
Kwa mahitaji ya vifaa vya umeme, tunapokea order za wateja wetu, tunahakikisha mteja wetu anapata huduma ya uhakika na kwa muda muafaka, kupitia thread hii ntashare products mbali...