Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Tunafanya huduma ya water proof maeneo yafatayo. TOP ROOF( CONCRET) (paa la juu la zega) HIDDEN ROOF (nyumba za kisasa) WATER TANK (matanki ya maji) tunatumia vifaa madhubuti kuhakikisha...
1 Reactions
3 Replies
552 Views
Je, unatafuta njia mpya ya kujiongezea kipato chako na kuanzisha biashara yako mwenyewe? Tunayo fursa nzuri kwa ajili yako! Jiunge na Programu yetu ya Reseller leo na uanze kujipatia pesa kwa...
0 Reactions
0 Replies
505 Views
Nauza kioo cha saluni ni kikubwa bei laki 1, kipo mtoni kijichi. Mawasiliano 0784427363.
0 Reactions
2 Replies
455 Views
Habari za muda huu wana JF, Bila kupoteza muda,siku ya Ijumaa natarajia kuanza safari ya kutoka Dar Es Salaam kuelekea Katavi kwa shughuli binafsi na natarajia kupita DODOMA kwa mara ya kwanza...
1 Reactions
52 Replies
16K Views
Brand: Mitsubishi Pajero Manufactured year : 2004 Imported from : Japan Engine capacity : 2,970 CC Fuel type : petrol Transmission : Automatic Clean condition Adroid radio mileage 249,283 Km...
2 Reactions
69 Replies
4K Views
Kutana na timu yetu ya Wataalamu ujenzi tuliobobea katika fani hii, Makao makuu yetu yapo MOROCCO na SINZA jijini Dar es Salaam, Kwa majengo imara na ya kisasa kama apartmenent, nyumba za kawaida...
0 Reactions
6 Replies
491 Views
SIDIRIA Bei ya china 15yuan kwa kilo 1 Oda kima cha chini 100kg (belo 2) 15x100=1500yuan 1500x379=568500Tsh (379 ni bei yangu ya kuuza yuan kwa siku ya leo 23/09/2023) 100kg nikama sidiria...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Baadhi ya Orodha ya Vyombo vya Muziki na Vifaa vya studio tunavyouza vinavyopatikana Dukani kwetu. Duka letu lipo Dodoma mjini, (Kizota) kituo cha daladala cha City jengo wanalouza bajaji za TVS...
2 Reactions
6 Replies
958 Views
Habari Wakuu, Kama kichwa kinavyosema, nahitaji nyumba ya kupanga inayojitegemea kwenye fensi yaani stand alone maeneo ya Mbezi Beach. ~ Nyumba ya vyumba viwili, sebule na jiko inayojitegemea...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari nauza gari mil4.5 Aina ya gari ni toyota vista model 2002 Engine capacity 1990 Engine type 3s Ulaji wa mafita ni mzuri mjini ni 10km /l Ukiwa safari ni 12 km /l Mawasiliano 0712206032...
2 Reactions
3 Replies
658 Views
Watoto,zakike na zakiume kila size kila mtindo Kazi yangu ni kukuuzia Yuan ama kukulipia kwa supplier wako Natoa hesabu kwa baadhi ya soksi kwa rate yangu ya leo ya yuan 379 men's socks...
0 Reactions
4 Replies
910 Views
Habari zenu wanajamiiforum kama heading yangu inavyosema hapo naomba mwenye kujua mawasiliano ya bwana huyo Samadu Hassan ambae awali alikuwa mtangazaji wa RFA anisaidie
0 Reactions
1 Replies
789 Views
Kwa wafanyabiashara wakubwa wa gas wa jumla na reja reja kuna mitungi ya Gas inauzwa. Mitungi hii ni Empty haina Gas, kampuni za Gas zilizopo ni zote kasoro ORYX tu. CAM GAS MIHAN/TAIFA GAS OGAS...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wakuu, Lenovo Xiaoxin 700-15ISK ya CORE 7 yenye NVIDIA GEFORCE GTX imezima natafuta fundi anitengenezee nipo DAR. . Taa inawaka vizuri kabisa. . Tatizo screen ndio haiwaki .. Niliipeleka...
1 Reactions
6 Replies
394 Views
Jamani nauza tank used ltr 2000 la aina ya kiboko, bei ni Tsh. 350,000/- Ukiitaji nicheki 0693972647, nipo Dar es Salaam.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Natafuta ps3, nipo Morogoro. Bajeti yangu ni Tsh. 200,000/- Mawasiliano: 0679680895
0 Reactions
1 Replies
338 Views
Toyota rav 4 Year 2006 Cc 2360 2wheel drive Miileage: 69,969 Car direct from Japan Car registered. Price 32,500,000 Phone 0767507487
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Asalaam alaykum nyote i hope mu wazima kwa ambaye afya imeyumba like me M/Mungu atuhafu amiin.. Wakuu naombeni mwenye kujua soko/viwanda/mahali wanapo nunua Oil Chafu (Crude Oil) na bei yake kwa...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Ninauza milango mipya ipo 22 ni mti wa mkongo Ipo milango 22 na kila mlango mmoja ni sh 230000 Ipo Ilala Bungoni Call: 0788929673
0 Reactions
8 Replies
920 Views
Habari Wana jamii. Habari ndugu jamaa na marafiki Kwa wale wanaopenda sana mambo ya blog au website basi leo nawaletea website ya habari(newsportal) iliyokamili kabisa inauzwa Kwa matumizi...
0 Reactions
0 Replies
206 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…