Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Habarini, Naomba ushauri kuhusiana na biashara ya kukodisha turubai, je ni size ipi ambayo inapendwa sana katika kukodishwa (4m kwa 10m au 6m kwa 10m au 8m kwa 10m)? Material ipi ya turubai uwa...
2 Reactions
3 Replies
769 Views
Viwanja vya makazi ukubwa tofauti tofauti kuanzia sm² 600, 1000 na zaidi vinapatikana Huduma za maji, umeme na barabara ya changarawe Bei tofauti tofauti Tuwasiliane no 0658164307
0 Reactions
5 Replies
498 Views
Chagua rangi yoyote geji 30 hii no ofa kama unataka idadi yoyote unapata kwa 33500 piga 0743257669 uliza kwanza kwa wengine ukijua bei ndio uje kwangu uone hii ofa babkubwa tupo Buguruni hatuna...
1 Reactions
4 Replies
705 Views
Hello wadau karibuni hapa ni mabegi na pochi kali kwa bei nafuu. Pochi 15000 mabegi ya shule 20000, safari begi 30000 karibuni Sana. Namba zangu za simu 0692436124, napatikana Moshi mjini mkoani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nahitaji pooltable nzima used na mbovu kwa ajili ya biashara ninapatikana moshi kilimanjaro lakini naweza kulifuata popote ulipo Ukinichek WhatsApp itakua poa zaidi 0682770944
0 Reactions
0 Replies
332 Views
Kibaha Muheza 48 ml ( Maongezi Yapo ) 3 kilometers kutoka Mailoja. Eneo 18*25 Vyumba vitatu vya kulala 1 master bedroom Sebule na dinning room Public toilet Jiko na stoo yake Fremu ya duka...
0 Reactions
5 Replies
519 Views
Jipatie Vape yako ili Weekend yako iende poa Tunazo aina Mbalimbali za vapes -Youto -Hcow -Foco Zenye flavor Mbalimbali pia Delivery ipo kwa waliopo Dar... Mikoani Tunatuma pia WhatsApp & Calls...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sababu za PC yako kutowaka ni; Note: hakikisha umeiweka kwenye chaji yawezekana chaji ilikuwa imeisha. Isipowaka ... tatizo linaweza kuwa; ✓ Charger imeharibika ( adaptor au power cable mbovu)...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
VIWANJA VINAUZWA BUYUNI PEMBA MNAZI KIGAMBONI Vinauzwa na SNOW PROPERTY LIMITED (SPL) yenye ofisi zake Magomeni mwembechai opposite sheli ysSopco Viwanja hivi vina sifa zifuatazo: Vipo umbali...
1 Reactions
1 Replies
754 Views
Habari wakuu. Kama mjuavyo shida haibishi hodi. Nimepata dharura na nahitaji mkopo wa shilingi laki 4 (400,000 tshs). Nitarudisha baada ya siku 30 kwa riba ya 20%. Dhamana ni laptop yangu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habarini ndugu Nina shida na mkopo wa kiasi cha shilingi milion 6 kwa mtu binafsi au microfinance ambayo hawaitaji lesen ya biashara au niwe mwajiriwa ili kupata mkopo Nahitaji mkopo huo kwa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Uwe mmiliki halali 0659593096 Ubungo DSM
0 Reactions
1 Replies
192 Views
Mashine nzuri za ujenzi ,za compaction ,za kuvunja etc Jumping hummer (mguu wa jini) Hand roller Plate compactor Jerk hummer Air compressor Call. 0768048752
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari zenu, Kiwanja kinahtajika Tanga mjini isizid 1.5 - 2M. Mwenye nacho anisaidie. Asanteni
1 Reactions
13 Replies
750 Views
Mzani original wa vito na dhahabu ( 0.01g - 500g) kwa Tsh 35000/= tu. Piga 0654669370 ukihitaji
0 Reactions
1 Replies
349 Views
Hizo laptop 2 zimeibiwa jana usiku maeneo ya Kinyerezi. Sasa hiyo Packard Bell ni computer rare kidogo, hivyo kama kuna mtu utasikia anaiuza leo au zote mbili kwa pamoja, basi nitonye, kuna...
7 Reactions
5 Replies
673 Views
Simu ni Samsung Galaxy A21s RAM 4GB STORAGE 64
2 Reactions
4 Replies
625 Views
Habari wandugu , Nauza. SEA PIANO (as seen) from pictures.. Mwaka wa manunuzi ni 2023 , inauzwa , full box..... BEI 150,000/= Bei NOW. 120,000/= Inapatikana moshi. Mjini mtaa wa shana...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Karibu mafuta mwali ya Nazi, kwa utunzaji wa ngozi na kuipa unyevu muda mwingi, mafuta haya ni mazuri kwa ngozi na nywele, wanaitumia watoto na wakubwa, wanawake na wanaume. Yana mchanganyiko wa...
4 Reactions
9 Replies
553 Views
✓ Hufanya computer kuwa slow. ✓ Hufanya kompyuta kuchemka sana. ✓ Hufuta data na mafaili katika computer. ✓ Huleta madhara ya kudumu kwenye hard disk ( permanent hard disk damage). ✓ Huingilia na...
0 Reactions
0 Replies
405 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…