Kariibu ofisini Magomeni Dar
Android ya IST, Rumion, Passo, Rav4, Vitz, Subaru, Noah n.k utaipata kwa 250,000
[emoji419]Ikiwa na 32 memory GB yenye uwezo wa kukopy vitu kwenye flash na memory car...
Ninauza cherehani mbili zikiwa na meza zake za kushonea
1. Singer
Ina mota ya umeme
Location.. Dar es salaam Mikocheni B
Bei: 320k
Mawasiliano piga +255 786 407 039
Mzigo mwingine huo hapo; epuka usumbufu wa kukatika umeme mara kwa mara; solar kubwa hiyo hapo kwa bei Poa; vioo viwili vyenye ubora wa hali ya juu na bado vipya kabisa: kila kimoja watt40 Jumla...
Nauza saa English Gold hazipauki haraka na wallet zenye ubora mkubwa
Nafanya delivery dsm na mikoani
Bei: Saa 35,000/=
Wallet 25,000/=
Location: Mbezi, Kimara
Contact: 0626903619
Habari'
KWA WAWEKEZAJI, MAABARA YA AFYA/ MEDICAL LABORATORY
Inauzwa.
Imekamilika kila kitu.
Umeme wa Tanesco na
sola poa ipo
Haina shida yoyote.
Mil.7 kwa mil. 11.5
Tayari ina kodi ya Miaka 6...
Kina ukubwa wa sqm 1566 kipo karibu na magorofa ya NSSF kimepimwa tayari hati inatoka moja kwa moja kwa jina lako huitaji transfer Bei ml 20 kipo mita 150 toka lami ilipo nicheki 0713672719/0787672719
Nauza TV HIsense Inch 32 LED kwa bei ya Tshs 260,000
TV imetumika miezi 4 na ina boksi lake, haijawahi kufunguliwa na fundi wa aina yeyote.
Ukinunua TV hii ni sawa tu na unenunua dukani mana...
Simu inauzwa Infinix Hot 10i 64GB
Mali halali, mwenye nayo kapata dharura ana shida na pesa ya haraka.
Price 150k.
Location [emoji625]Dar es Salaam.
0676721372 | 0768315019
Wana jf habari subwoofer yangu nauza
Inatumia Bluetooth, flash, memorycad
Pia kwa watu wenye sola wanaweza kutumia pia
Volume 98
Bei 95,000
Nipo Chanika dar es salaam
Mawasiliano
0623892902
Stationery Inauzwa. Bei 2,500,000 (Hakuna Punguzo). Stationery Ipo Mwanza, Jirani na chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino. Stationery ipo katika eneo zuri sana na inawateja wengi sana. (Sababu za...
Sony PlayStation 3 (PS3) inauzwa.
Imetumika kwa mwezi mmoja (1)
*Ina HDD yenye 250 GB.
*Inakuja na padi mbili (2)
*Inakuja na waya wa power, waya wa HDMI na nyaya mbili (2) za kuchajia padi.
*Ina...
Model: Creality Ender 3v2
Materials Supported
ABS, PLA, PETG, TPU
Number of Print Colors
1
Number of Extruders
1
Frame Design
Open
Printer tajwa hapo juu ipo sokoni, imetumika kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.