Mashine ya Mazoezi ya Kukimbia kampuni ni HOMCOM,Inatumia umeme (Imetumika kidogo)
Ina uwezo wa kuhimili hadi Kilo mia na kumi - 110KG.
Bei ni TSH:1,000,000
Mawasiliano:0768960575
iko Dar es...
Nauza [emoji3053]Sandwich Machine kampuni ya Von.
Ni mpya kabisa bei ni tsh 35,000 nipo Dar es salaam Mawasiliano yangu ni 0657438581. Karibuni!
Nimejaribu ku upload picha hapa naona zinagoma...
Wanajf habari zenu bana??
Nimepata dharura naondoka mkoa huu nilipo(Arusha) na nauza vitu vifuatavyo.
1.Kitanda 5 kwa 6. Tsh 320k
2.godoro.comfy 5 kwa sita inchi 8 .Tsh 170K
3.SeaPeano..tsh...
Kwa wale wanaohitaji baibui kwa jumla na rejareja kuanzia bei ya 8k, 10k nakuendelea tuwasiliane 0712094550 tunapatikana JENGO LA MACHINGA COMPLEX KARUME DSM. KARIBUNI SANA 0712094550
dryer ni 150,000. ina miezi 6 risiti ipo na boksi lake
stima ni 80,000 imetumika kimtindo
Viti viwili 100,000(vya kisasa)
stendi ya kuoshea nywele 40,000
kabati la chini ya kioo 70,000...
Tunafanya makazi kuitwa nyumbani[emoji3]
Pendeza makazi yako, ofisi yako na Emperor wallpaper bora kabisa kutoka kwetu
Wallpaper imara na zenye kudumu
Utazipata roller kwa tsh 75,000 tu
Roller 1...
Nauza pikipiki yangu,
Aina: Sinoray
Cc: 125.5
Muda: Nimeitumia mwaka mmoja kwa shughuli zangu binafsi,
Ni nzima sijawahi kufungua engine
Price: 900,000Tsh
Location: Dar es Salaam, Mbezi
Punguza gharama za ujenzi kwa kununua vifaa vya bomba kwa bei ya jumla jumla.
IPS, PPR, GS, PVC
Gutter
Karibu
Gerezani, kariakoo
Whatsapp +255 669 494650
Ukiitaji bei njoo whatsap au fika dukani...
Habari wadau!
Kuna BP Machine hapa mpya pamoja na medical equipment zingine mpya,zote kwa pamoja zinauzwa Tsh 70000/=tu,
Mwenye uhitaji apige au atume what sapp kwenye namba hiyo +255682017479.
NAUZA SAFETY BOOT ZA MTUMBA
sh 22,000
Size 41
Mahali:yombo-DSM
Zipo vizuri,
Ukihitaji picha au nirekodi video uone njoo WhatsApp
Ukihitaji naweza kukuletea mahali ulipo, ndani ya Dar
Simu no...
Nimepata dharura kwahiyo nimeamua kuuza ofisi yangu ya PlayStation (Gamecentre).
Ina vitu vifuatavyo: (kila kitu kimetumika kwa mwezi mmoja)
Bei hazina maongezi (prices are fixed)
1-Sony...
Tunauza trekta aina ya Lovol,
Lovol 754-75HP 4WD bei ni 53,000,000/= Tsh
Lovol 504-50HP 4WD bei ni 39,000,000/= Tsh
Trekta zetu ni imara, zenye nguvu na utumiaji wa mafuta mdogo.
Mfano; HP 75 4WD...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.