Habari naitwa Josephat Charles.karibu kwenye kampuni yangu people electrical Tanzania sale center. makao makuu ya ofisi ni china. ila tuna station office hapa Dar es Salaam kariakoo. Swahili...
Vifaa vya saluni ya kike vinauzwa.
Vifaa vilivyopo ni Drayer za kukausha 2, Drayer ya mkono 1,
Drayer la stima 1,
kioo kikubwa kimoja,
rolas na tray ya rolas.
Bei Tsh. Laki tano (500,000/=)...
Habari wakuu za kwenu? Hope mko poa.
Niko na 4G POCKET WIFI nili nunua airtell kwa thamani ya shilingi 50k
Ina offer ya 5GB kila mwezi pale unapo weka kifurushi cha mwezi mfano ukinunua GB 4.5...
Karibuni wafugaji wote. Tunauza mashine za kutotoleshea vifaranga za ukubwa mbalimbali
Kwa mawasiliano ni 0753903809, au 0655903809 au expecamdu@gmail.com au tembelea facebook page yetu ya...
NIKON D3000 CAMERA MPYA
🟡UNAPATA LENZ 18-55mm
🟡CHAJI NA BETRI
🟡MEMORY CARD 32GB
🟡UNAPATA NA BEGI
BEI TZS: 380,000/= TU
PIGA: 0752886244
HII OFA SIO YA KUKOSA KABISA[emoji3060][emoji3060]
Jambo Jambo?
Wote tunajua kuwa mbali na Ajira huwa tunapiga mishe zingine za pembeni ili kujipatia kipato na kutoa msaada kwa wadau wanaouhitaji.Tupo kundi la watu kadhaa ambao kulinganana kazi...
Fridge Inauzwa:
Fridge hii ni Brand ya INDESIT ambayo inatengenezwa na company ya Hotpoint ya Uingereza.. ina pooza na kugandisha vizuri..
Matumizi yake ya umeme ni Bora yenye level ya A+...
Kama picha inavoonesha hapo Catdrige OG kabisa za HP... ni compatible kwenye HP laserjet pro M402, MFP426 zipo mbili...zote nagawa kwa Laki moja tu....Ni mpya kabisa na Sealed
HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya...
Habarini za majukumu wakuu!,
Muhusika wa hii account ni mjasiriamali na mkulima mdogo ninae jihusisha na kilimo cha zabibu Dodoma kwa lengo kuu la kutengeneza Mvinyo (Wine) na wine hizo...
Habari za Leo wana jamii forum
Nina maeneo mawili nayauza yapo Kibaha
Kiwanja kipo maili moja(35*25) eneo linaitwa Loliondo Karibu na stand mpya
Bei ni 15M (maongezi yapo)
Nyumba ipo kibaha(eneo...
Je gari yako([emoji594])imekua ikila mafuta isivyo kawaida([emoji618]), je imedabili mngurumo wake na inakosa nguvu kabisa? Hizo n dalili za gari kuibiwa masega.bas karibu tukuuzie vibuyu vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.