Nduguyangu amekwama kutoa mzigo wake bandarini. Anahitaji mkopo wa dharura wa 4m kwa riba watakayokubalian na mkopeshaji. Dhamana aliyonayo ni kiwanja. Kina ukubwa wa 450 SQM, ni cha...
Habari zenu wakuu.
Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba...
SUZUKI CARRY FOR SALE
Year: 1996
Engine Size: 650cc
Fuel: Petrol
Mileage: 53,000km
Transmission: Manual (5 gears)
Usage: Private
Service : Well maintained
Price: 8.5 Million
Contact: 0786647564...
Habari nauza Samsung Galaxy S21 5G simu ni mpya kabisa full haifunguliwa
RAM 8GB
MEMORY GB 128
MADE VIETNAM
Price mil 1,350,000
Location mlimani city
Contact 0714787795
Habari wanajukwaa. Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Nauza PC ya Aina ya hp. Ni ya kwangu niliinunua dukani sema receipt nime replace. Ukiihitaji tutaandikiana kwa mwenyeketi wa mtaa ama...
Habari .
Natafuta kiwanja kuanzia maeneo ya Goba/Bunju/Salasala/madale nk ambacho kipo pembezoni mwa barabara kubwa.
Kiwanja kinachofaa kwa kuweka biashara.
Mwenye nacho ani DM.
Shukrani.
Habari wadau!
Nina shida na mafuta ya mise au yale ya mawese yanayotumika kutengenezea sabuni za magadi.
Kwa yeyote mwenye nayo au anayejua yanakopatikana tafadhali naomba anifahamishe.
Ahsante
KARIBUNI SANA STUDIO IRIS PRO
KWA MAHITAJI YAFUATAYO
1. RECORDING
2. SHOOTING
3. DOCUMENTARY
BEI ZETU NI NAFUU, TUNAKUFUATA POPOTE KENYA NA TANZANIA
PIGA SIMU +255737817081/+255755549602...
Habari zenu wakuu.
Nina nia ya kufanya biashara ya kuuza simu eneo la Kariakoo.
Huwa naona kwenye maduka mengi ya simu kunakuwa na makabati kadhaa yanayowekwa simu na kila kabati lina muuzaji...
Serious.
Nahitaji Tv flat screen mpya au used, ila isiwe ya wizi na isiwe mbovu.
Ofa yangu ni TSH 150,000/=
Inch 24 na kuendelea
Nipo DSM.
Kama hauna Tv ya kuuza, usilete kejeli hapa.
Asalaam Aleykum!
Wakuu kwanza kabisa napenda kuwafahamisha kwamba kwasasa Chalinze imeshakuwa wilaya, ujenzi wa makao makuu ya wilaya umeshaanza pamoja na stendi kubwa ya magari ya abiria ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.