Habari za majukumu ndugu zangu,
Naomba kufahamu na connection ya soko la pumba Kwa mikoa ya Arusha na Moshi.
Ni pumba laini kabisa za maindi na mpunga
Mimi na pumba ya kutosha nipo tabora...
Play station ni used
Hard disk 500GB
Ina games ndani tayari za akaunti.
Padi moja ila siyo nzima.
Ninakupa na HDMI na Power cable.
Napatikana Dar es Salaam
Nicheki kwa namba 0682507838 au...
solar products. Inawaletea bidhaa ya taa[emoji362][emoji362][emoji362] 3 pamoja na switch zake pamoja na chaja za simu. Malipo ya awali 20000/= na malipo ya siku 750/= muda WA malipo mwaka 1ina...
Hello
Poleni na majukumu
Mimi nauza nguo za watoto za kike na za kiume kuanzia miaka 0-6 bei ni kuanzia tsh 1, 000 napatikana dar goba kwa mawasiloano karibu sana PM.
Shamba linalofaa kwa kilimo Cha parachichi au miti ya mbao linauzwa. Lipo Kijiji Cha matembwe ktk kata ya Matembwe, tarafa ya Lupembe wilayani Njombe na mkoa wa Njombe. Lina ukubwa wa eka 10
Bei...
Viwanja vipo kibaha kwa mfipa,karibia na chuo kipya Cha uongozi,vimebaki viwili kila kiwanja kina square meter 400.
Bei kwa kila kimoja milioni 4 na nusu.
Umbali km 1 na nusu toka morogoro road...
Hello wana jamvi kama unahitaji
mashine ya kutengeneza lambalamba yenye uwezo mkubwa piece 200 kwa pamoja ndani ya dakika 25-35 tayari ni kwa kibiashara kweli kweli tunaitengeneza hapa hapa...
MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI
BEI: 450,000/=
Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako...
Heshima kwenu wadau..
Nauza T-Shirt heat press, heavy duty, nzuri kabisa for transfers image and logo on T-Shirts, namba na majina kwenye jezi za michezo.. kuprint leso, vitambaa etc
Mpya kabisa...
Wakuu kherii.
Ninahitaji godauni la kupangisha hapa Zanzibar.
Liwe la mita 100-120 bila kujali upana ni ngapi mita.
Lisiwe mbali saana na mjini kati.
Mwenye kufahamu mahali laweza patikana au...
Wakuu habari za asubuhi, poleni na uchovu wa jana wa Simba day na pia siku ya mapumziko sikukuu ya Nanenane kwa wafanyakazi na wasio wapenzi wa kandanda.
Nimekuja tena kwenu nina shida nauza gari...
NAUZA MRADI WANGU WA SHAMBA EKA 105 KWA MILIONI 135
Ningependa kuchukua nafasi hii kutangaza kuuza shamba langu lenye ukubwa wa eka 105 lililopo kijiji cha lutukila katika wilaya ya madaba mkoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.