Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Ni imara na zinapendezesha nyumba Zipo za rangi mbalimbali Wateja wa dar unaletewa buree Unafungiwa pia buree Malipo mpaka upate mzigo wako Milango 2 tsh 75,000 Milango 3 tsh 85,000 Mawasiliano...
0 Reactions
30 Replies
31K Views
Kwa t-shirt nzuri za India, pure cotton na mashati mazuri yasiyochuja wasiliana nami kwa namba; Whatsapp/Call - 0678096545 Napatikana Upanga, Dar.
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari zenu wadau ninahitaji watu wenye uwezo wa live band (copy) au cover pub inaitwa MKUSHI PUB ipo wilaya ya kibondo mkoa wa Kigoma. Mawasiliano 0627491978/0656426643
2 Reactions
6 Replies
465 Views
Natumai wazima humu, Msaada nahitaji IST 1290Cc iwe na conditions nzuri isiwe imerudiwa rangi bajeti yangu 10.5M. Sitaki iwe kwa dalali ila awe mmiliki halali.
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Habar Wana Jf, Kama heading hapo juu inavyojieleza, naombeni msaada wa kujua wapi naweza uza nyanya kwa Bei nzuri. Nataraji kuvuna katikati ya mwezi wa tisa, ukubwa wa shamba ni hekari moja...
1 Reactions
1 Replies
600 Views
Maradhi, magonjwa yasiyo patiwa ufumbuzi wa haraka,huleta madhara makubwa hata kepelekea kifo. Unaweza kuepuka madhara hayo, Kwa kupata watalaam wazuri wa afya, Wenye vifaa vyenye uwezo...
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Habari zenu mabibi na mabwana. Kama kichwa cha uzi huu kinavyojieleza, Nahitaji ardhi yenye rutuba hata kama ina mapori. Ikiwa na channel ya umwagiliaji au kua karibu na mto ntashukuru zaidi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni kweli na wala sio utani! Ni Laptop aina ya Dell Inspiron N5040. UWEZO. 1. Processor~ Core i3 @2.5 GHz. 2. Ram 4Gb. 3. Hard drive 500 Gb. 4. Betri 4 Hour's Bei Tsh 400,000/= Mawaliano:- 0622...
1 Reactions
5 Replies
699 Views
Eneo linauzwa. Ni robo hekari. Pembeni kumejengwa vyumba viwili vya kulala na sebule na choo... Lipo Chanika Nyeburu. Bei ni million 30. Halina udalali ... 0620593714
1 Reactions
16 Replies
947 Views
Habari wakuu kama una uhitaji au unataka kuanza au kuboresha biashara yako, karibu hii selcom mashine Ukiwa nayo hii utaweza kufanya huduma nyingi sana Ikiwemo malipo mengi ya kimtandao kama...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna mwanafunzi wa law school (July intake) ya pale mawasiliano. Anatafuta chumba ambacho atakuwa na uwezo wa kwenda na kurudi bila kulazimika kutumia dala dala au boda boda. Kiwe kwenye...
1 Reactions
4 Replies
459 Views
MULTIMACA ni kirutubisho ambacho kimepewa tuzo kwa afanisi mzuri wa kazi yake mwilini KINATUMIKAJE Hii inaongeza nguvu za kiume kwa asilimia 100% yani kama utaitumia hii bidhaa tatizo lako...
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Experienced in both NECTA and CAMBRIDGE SYLLABUSES over ten years. Natafuta kazi ya kufundisha full time mkoa wa Dar es salaam. Mawasliano:0766692230
0 Reactions
0 Replies
337 Views
Karibuni Gale Tanzania Ltd
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Habari wadau! Kama una Laptop au Desktop umesahau Password ya user(admin) au Bios njoo tutatue tatizo. Gharama ya kuondoa user Password without delete data ni 10,000/= tshs na Bios Password...
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Habari za muda huu wanajamii Forums, naomba msaada kwa anaefahamu Chumba kinachopangishwa maeneo ya Mbezi Beach (Africana, Makonde, Shule, jogoo, tangi bovu, kwa zena, au makongo). Chumba kiwe ni...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom