Kiwanda Lmt Textile kinachojishughulisha na kutengeneza masweta ya shule kinatoa fursa kwa wanaohitaji kufanya biashara ya kusambaza masweta ya shule kila mkoa.
Kiwanda kipo DODOMA.Kwa wenye...
Habari za asubuhi:
Moja kwa moja kwenye maada,Naomba connection au chimbo la saa za smart(Smart watches) kwa bei ya jumla jumla tufanye kazi.
Jamii forum ni kubwa na inatukutanisha na watu mbali...
KAMPUNI.... JITIBU KWA ASALI
Product zetu
1. Asali ya nyuki wakubwa
2. Asali ya nyuki wadogo
3. Juisi ya asali ya nyuki wadogo
4. Korosho za kuchoma kiasili
Kuanzia lita 20 pamoja na packaging...
habari wakuu.. nauza kochi langu la watu watatu .. lina wiki kadhaa toka linunuliwe ..
bei 170,000 location moshi mjini ..
exchange inakubalika kwa mwenye la watu
wawili tukikubaliana ..
0715 194...
Hello coder's
Kama ww ni developer ( WordPress / full stack developer ) I have alot of jobs I need a team. App Developer Invented tooo
Check me on Whatsapp 0763 043 763
Mashine za juisi ya miwa kutoka china mzigo upo njiani pindi ukiwasili ni kuifuata oda yako bei yake million moja na Laki mbili karibu sasa.
sifa ya mashine inachuja yenyewe na pia ni rahisi...
BS ni wakali wa kutengeneza graphics kwa viwango vya lami.
Njoo tuweke muonekano bora kwenye bidhaa zako leo kwa bei poa.
Piga au WhatsApp 0752 132 836 au 0787 865 793
MI NADILI NA WANAMUZIKI
●Nafanya verification ya youtube (official artist channell)
●naweka nyimbo kwenye platform mbali mbali
[emoji830]︎boomplay (account yako inakua verified)...
STAMICO kusherehekea miaka 50, imezalisha makaa ya mawe rafiki kwa ajili ya matumizi ya kawaida. Makaa yana ufanisi mkubwa na huwaka kwa muda mrefu kuliko mkaa wa kawaida.
Pia husaidia katika...
Baada ya maadiliko ya hali ya hewa sisi wakulima kukosa kabisa mazao ya kutosha,hivyo haya machache niliyopata nimeona bora nikamue mafuta niuze.
Hivyo nauza kuanzia lita tano kwa 30,000 tu...
Habari zenu?
nauza nyumba yenye kiwanja cha ukubwa 25 kwa 20
Nyumba ni ya Chumba na Sebule
Ipo kishili (mtaa wa chadema) bei ni milioni 4
kwa mawasiliano zaidi nipigie kwa 0767-733-555
Karibu Katika Mradi Mpya wa Viwanja Maeneo Ya Mvuti Km4 Kutoka Chanika Kwenda Mbagala Mradi Upo Mt 350 Kutoka Barabara Kubwa Ya LAMI
Bei Ni Tsh, 7000/= Kwa Mita 1 Ya Mraba
Na Vimepimwa Kuanzia...
Usambazaji wa mizigo mikoa yote ya Tanzania – Bara na Visiwani.
Marathon Logistics inapenda kukufahamisha kwamba inatoa huduma za usafirishaji wa mizigo (midogo midogo na mikubwa) na vifurushi...
KIMFAACHO MTU CHAKE , NILETEE 7.8 MIL NIKUACHIE HII NISSAN XTRAIL (DFP)
FULL DOCUMENTS
FULL AC
GARI NZURI HAIJARUDIWA RANGI ,
GARI KALII SANAA
NJOO MBAGALA
BEI 7.8 MIL CHAPCHAP
0625004475...
Habari ya wakati huu wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, madalali wamenichosha hakika na wasumbufu na hawatimizi hitaji😥
Natafuta chumba, sebule choo na jiko ndani kwa bajeti...
Shamba linauzwa miono ,mkoa wa pwani,zipo eka Mia,Kila eka moja laki mbili na nusu,zipo pembeni ya mto wenye maji muda wote,linafaa kwa kilimo Cha umwagiliaji na Cha msimu,mazao yanakubali...
Hakuna uwekezaji kama kuzika pesa ardhini, kuna SHAMBA kubwa la ekari 20 lina mikirosho tupu na mikubwa linauzwa kwa mill 45, maongezi yapo karibu Sana kwenye green minerals (karosho).
Sent from...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.