Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Natafuta half cut ya gx 100 mark 11, kwa yeyote aliyonayo tuwasiliane kwa simu no 0762332222
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzanian Training Centre for International Health, Ifakara REFRESHER COURSE FOR CLINICAL OFFICERS 2011 18- 29 April 2011 Ifakara, Tanzania. This course is open to clinical officers...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwenye kujua wapi naweza kupata iphone 4 ya 16GB ani pm nataka mpya .. slightly used sijui used from Gongo la mboto sizitaki
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ipo nyuma ya Ubungo kibangu shule ys Msingi. Ina vyumba vitatu vya kulala. uzio. sebure. jiko. Ni self contained. Kodi ni tzs 300,000 kwa mwezi. Mawasiliano 0784225000 or 0717114409
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu heshima mbele!natafuta generator ndogo kwa matumizi ya nyumbani,manake huu mgao wa umeme ishakua taabu!kwa sisi tuanoishi huku maporini unaweza kumkanyaga nyoka akakugonga bure,gharama...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Natafuta nyumba ya kupanga Arusha iwe ya vyumba viwili vya kulala,sebule,jiko,choo na bafu,pia geti,umeme na maji. bei ianzie 100,000/= hadi 150,000/= kwa mwezi ndiyo tutakayomudu kwasasa wana JF...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wenyeji wa KATA ya Kinampnda! Kuna shule huko nyumbani inaitwa Kinampanda SSekondari inatchafua jina letu, Ni hizi shule zilizoanzishwa na Mkwere bila maandalizi!Hata iwe vipi wengi watoto wetu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ipod touch 1g,8gb,ios 3.1.3..400,000 negotiable...PM.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninauza simu kwa bei nafuu kabisa 1. HTC Wildfire imetumika mara chache(UK), almost karibu na mpya, touch screen android phone,iko na pouch rangi ya pink (kwa masista duu) bei laki tatu na nusu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NYUMBA yenye vyumba 3 , dinind, sitting, jiko na choo+bafu pamoja na uwanja mkubwa inauzwa kimara mwisho - ghorofani. bei Mil 35 (O.N.O). kwa mawasiliano ya kutumiwa picha za nyumba na maelezo ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
JF kila kitu kinawezekana....wakuu natafuta ramani ya nyumba ya vyuma vitatu au vinne...nyumba ya kawaida...au ikipatikana hata ya ghorofa moja..lakini ground floor iwe na na hata vyumba viwili i...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
WanaJf wote naomba kutoa tangazo la kuwa ninauza Portable external Hard disks za Seagate. 500GB kwa Tshs 160,000/= na 1TB kwa Tshs 230,000/= unaweza kuzitumia kwenye operating system...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wana Jf natafuta wapi naweza kupata AVG Internet Security 2011 ili ninunue. Asanteni in advance
0 Reactions
3 Replies
264 Views
Car in verry good condition: Sports reems,Big music,A/c & all electronics functional,spoiler. Bei 5 Mill, call 0712224912.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa sinza kumekucha, ina vyumba vitatu vya kulala na masterbedroom moja, sebule, dinning, jiko na store, nyumba ina marumaru za spain, parking kubwa na fence ya uhakika, bei ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
digital camera aina ya canon,2 gb,color ni pink, inauzwa kwa laki tatu na nusu T shillings. mawasiliano piga 0659 158365
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Wakuu, Naiuza BlackBerry yangu kwa bei ya kutupwa (BB Bold 9700). You mention the price, we negotiate. Imetumika kwa 4months, ina screen protector (haijapata mikwaruzo). Devices ZOTE zipo ikiwa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Niko nje ya nchi kwa muda wa miaka 5 sasa, hivyo basi sijui biashara gani inalipa kwa wakati huu.So mwenye ideal naomba anishauri ili niweze kumuwezesha bi.mkubwa(mama) maana kila biashara anayo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni mpya na haijawahi kutumika unaweza kuiona
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Milango mitano. Automatic. Iwe katika hali nzuri. Iwe aijawai kupata ajari.Bajeti 8.5mil. Ikiwa unayo piga simu au tuma sms na 0784225000
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…