Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Kiwanja chenye ukubwa wa eka moja kilichopo maeneo ya Njiro mpakani na Kijenge Mwanama kinauzwa kwa bei ya Tshilingi milioni 35/=.Kwa maelezo zaidi wasiliana kupitia namba 0762560088.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wajamani napenda kufahamu bei ya generator kubwa pia isiyo na kelele zaidi aidha mpya au Mtumba .
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani mimi mwenyewe natafuta nyumba ya kupangisha iwe maeneo ya makumbusho,vyumba viwili au vitatu vya kulala bei kuanzia laki mbili na nusu hadi laki nne,iwe na uzio hata kama ukiwa wa kuchangia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa ambaye hajaona ila ana interest. Deadline 30th Jan 2010, USD 100,000 for eighteen months...!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima zenu wakuu...Nina machine za dell (ultra small form factor) kama 700 hivi naziuza, zina specification nzuri sana kama ifuatavyo: Duo core 2.2ghz processor speed, RAM 2gb, 320gb(size ya...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Familia Nzima Wajinyonga Kukimbia Hali Ngumu ya Maisha...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Propeerties: -Dell Optiplex 210L n series -P.4, 3.0ghz, 512 RAM -80GB HDD -With 17'' TFT(Flat) Screen -Free UPS -In excellent condition!! Interested? Contact 0713535989 or PM
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nilikuwa kimya muda mrefu kwani Chuo kimebana. Samahani kwa hili limenikuna sana kwani nimewakumbuka marafiki zangu Enzi zile nilisoma nao Mbuyuni primary school Tanga Enzi ya Mwl...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Casper the commuting cat killed by hit-and-run driver as he crossed the road to catch his daily lift Last updated at 4:30 PM on 18th January 2010 A cat which became famous for catching...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wadau wa kujimwaga usiku ile Night Club maarufu iliyofungwa kwa ajili ya ukarabati na kupoteza mwelekeo itazinduliwa tena Jan 29,club hiyo ipo karibu na Legho bar na kwa hakika inapendeza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
4 Bed room House with wall fencing for Rent.The House has ample Parking facilities, tiled floor ,three toilet-cum showers.The rent is 550,000 Shillings per month.The Rent is negotiable. The house...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Gari inauzwa Escudo Nomade ya Dark Green imeingia Dar kutoka Japan Date 26/11/2009 inauzwa imesajiliwa T 675 BED kwa mawasiliano zaidi piga 0713623575 Bei Inaanzia Milioni 15 mpaka Milioni 14...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
HAYATI MACHALO MAJIGE FAUSTIN, (SAMSON MUKANDYA) ENZI ZA UHAI WAKE Familia ya Marehemu, Bw & Bibi, Aloycius Chokara, wa Sinza Mori Dar-es-salaam inasikitika kutangaza kifo cha Mtoto wao mpendwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
camera aina ya SONY MPG4, MP3 na Simu ya Motorola aina ya motorazr2 v9x vinauzwa
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Je laptop au desktop yako ina matatizo ,Software ,drivers ,OS ambazo sio genuine js call me 0713 443344 - Hassan
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi ni daktari wa mifugo mwenye degree ya veterinary medicine i.e. Bachellor in Veterinary Medicine (BVM), Nipo Dar-es-salaam. Ninatoa Huduma kwa wafugaji wa: Kuku na Ng'ombe ili kuzuia na kutibu...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Jamani watu wanasema hizi engine ni mbovu sana, lakini nadhani ni uelewamdogo wa jinsi ya kuzirepair kwani ni engine ngeni ukilinganisha na nyingine. Kama kuna mtaalam aliyebobea ktk ishu za...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Wanajamii heshima kwenu. Ninatafuta nyumba ya kupanga self-contained Dar Es Salaam, yenye vyumba vitatu vya kulala na iliyo kwenye sehemu yenye utulivu na usalama. Kwa kuwa suala lenyewe ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wapendwa.natafuta gari ya aina yeyote ya kutembelea lakini isizidi m4.na iwe katika halinzuri.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…