Hivi wakuu machine za kuoshea magari zipo za specs zipi na zipi, na zinapatikana wapi na makadirio ya bei zake ni zipi? taa imewaka kichwani, kuna kichaa wangu mmoja alikimbia shule, sasa ameamua...
Jamani kama kuna mtu mwenye address ya mtu ambaye aliwai kuwa nurse na ame retire .Namhitaji ili aweze kumtunza mwanangu mwenye kuhitaji msaada wa Psychiatric management.Sio lazima awe ni nurse wa...
Kivuko.com inapenda kuwatakia watanzania wote sikuukuu njema ya Eid.
pamoja na salam hizo tunaambatanisha kuponi kwa wale wote watakaotumia mtandao wa kivuko.com kufanya manunuzi yao katika...
Wana jamii natafuta hostel ampapo mtu anaweza kukaa kwa muda wa wiki mbili hivi akijitayarisha kwa mitihani. Iwe Meneo ya karibu na mjini kama Sinza, Mwenge, Kinondoni, Mjini kati, Ubungo n.k...
6 weeks old pet dog puppies for sale (small breed). parents are very well behaved and good for the family and kids. price - TShs 400,000. See attachment for pictures and contact details
Msichana wa kazi anatafutwa kwa kazi za ndani kijijini kwa mkataba wa miezi Mitatu kwanza kuanzia Dec 15 akifanya vizuri mkataba unaweza kuongezwa.
SIFA
Umri - wowote
Msafi
Elimu angalau Form IV...
Hi JF Members.
Am selling the below Raum at 7,500,000. But Negotiable.
Picha hazijatoka vizuri coz nilitumia simu.
Ni ya mwaka 2000
cc 1490
OD 67,000
nimeanza kuitumia last week
runs great
very...
Salaamz wana JF. Natafuta professional cleaners wa ndani ya gari. Namaanisha kusafisha floor, roof, viti, board ya ndani kwa ujumla, dash board NA MFUMO MZIMA WA HEWA YA AIR CONDITIONER. Note...
Kwa yeyote anaye hitaji digital camera: sony,fujitsu,canon,Ricoh etc (zote zinanzia 12 megapixel) Range ya bei Tsh 280,000 to 340,000
2. Digital Camcoders; Range Tsh 600,000 to 1,400,000
3...
Wakuu,
Nimesaidiwa mara nyingi hapa. Shukrani za dhati kwa JF team. Asanteni sana wote pia. Ninaomba kusaidiwa zaidi.
Ninatafuta wataalamu /professionals wa interior & exterior design na...
MSICHANA Khadija Daudi (22), mkazi wa Mbagala Charambe aliuawa kikatili na mumewe kwa kuchomwa na kisu mgongoni kwa kile kilichodaiwa kuwa ni baada ya kukataa kuamka usiku kwenda kuokota embe...
Waungwana heshima mbele kwa wote, Jamani mwenzenu nimepata vihela kidogo nataka kuagiza gari angalau ninayo ipenda, napenda sana nissan x trail lkn sijui kuhusu hizi gari je zina matatizo gani...
Lipo Chanika Sungusia. Lina ukubwa wa heka mbili.Lina miti ya mimea mbali mbali ya matunda kama maembe, machungwa, minazi n.k pia lina aina nyingine za mimea ya mboga mboga. Lipo karibu na shule...
Wasalaam wana JamiiForums, Mimi naitwa Kanyika ninafuraha kubwa kujumuika nayi katika kuliendeleza hili libeneke. Nitajifunza kutoka kwenu nanyi mtapata chochote kutoka kwangu
MFANYABIASHARA Edmund Liwa anayefanya shughuli zake maeneo ya Kariakoo, ameuawa na majambazi baada ya kupigwa risasi wakati akiwa na wenzake nyumbani kwake Kimara Temboni jijini Dar es Salaam...
IDADI ya watu ambao bado haijafamika wamekufa baada ya kufunikwa na mlima uliosababishwa na mafuriko yaliyotokea usiku wa kuamkia leo huko kata ya Manka Wilayani Same mkoani Kilimanjaro...