Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Naomba kuuliza. Kuna Land Cruiser Prado mbili zote za 2001, zote ni automatic, 90 series, rangi tofauti (nyeupe na silver), kilometer moja ni 65,000 na nyingine 88,000, lakini moja ni Petrol...
1 Reactions
18 Replies
8K Views
Ipo Kigamboni maeneo ya ungindoni. Bei ya kuanzia ni M 38. maelewano Imekamilika ila haina fence but reserved for parking and other development. Kwa walio sirias wasiliana na mmiliki 0717 221289...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu.. Ndo kama hivyo natafuta gari ya kutumia mi mwenyewe iwe ni Honda na iwe ni model ya kuanzia 2002. Kama kuna mdau anayo aweke details then tuongee biashara.
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Natafuta duka wanapouza hizo battery za blackbery kwa maeneo ya Dar es salaam
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ABIRIA zaidi ya 60 waliokuwa wakisafiri katika basi la abiria linalotambulika kwa jina la Harambee Bus linalofanya safari zake kati ya Dar Arusha walinusurika kufa baada ya basi hilo kupinduka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tafadhali kama kuna yeyote ambayo anaweza kunisaidi kupata fremu ya kupangisha. -iwe sehemu nzuri -mazingira yake yawe mazuri -iwe barabarani msaada tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkuu leo ni siku yako ya kuzaliwa. Nakutakia kila la heri katika maisha yako. Mungu akuzidishie miaka mara dufu. Happy Birthday to you......(2 times) Happy Birthday dear Balantanda......... . . .
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hongera jf
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu samahani naulizia mawasiliano na wananjenje nina issue nataka kujadiliana nao. Kama kuna mtu anafahamu simu ya kiongozi wao ama mmoja wa wanamuziki wa bendi hiyo basi naomba anisaidie. Vile...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Pick-up, nyeupe,1996model, manual transmission, 2800cc, diesel,3l engine, ipo katika hali nzuri ukiiona lazima uipende. Ac inafanya kazi barabara. Bei 16mil
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wadau wa masuala ya uchapishaji, lazima nikiri kwamba baada ya kusota sana mtaani nimeamua kuumalizia muswada wangu kwa nguvu zote!!Muswada ni wa riwaya, ambayo naamini iko poa na i hope penye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wazww wa kazi, Kuna kitabu nilipata kukisoma miaka tele hapo nyuma, kikiandikwa na Mkenya mmoja mtundu sana ambaye kwa bahati mbaya siwezi kukumbuka jina. Kitabu hicho kinaitwa One By One...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
And here we are complaining that we are too fat, too short, too skiny etc…. .
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Napenda kuwauliza wale wataalamu wa umeme: specifications za generator ya umeme unaowezesha kutumika kwa taa, fridge, jiko la umeme katika numba yenye vyumba kama vinne hivi, ni zipi? Natanguliza...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
WAUNGWANA, NAOMBA KAMA KUNA YEYOTE ANAIFAHAMU EMAIL ADRESS YA THE FORMER AFRICAN BANKING CORPORATION AMBAYO KWA SASA INAFAHAMIKA KAMA BancABC. Please Assist
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Interested customers: We are ready to deliver at their doors especially for those in Dar, Mwanza and Arusha. The minimum order for "Door-to-Door" delivery is one box (12 jars)
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wapedwa kwa wale mlioko dar, Nawakaribisha kwenye ufunguzi wa huduma ya Ngurumo ya Upako hapa dar es salaam, itafanyika kwenye viwanja vya Tanganyika pakers Kawe, na ibada zitakuwa zinaendelea...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Ipo Tabata Kinyerezi. Ina vyumba vitatu vya kulala, jiko, sebure kuwa, maji na umeme. Ipo katika eneo la nusu eka. Mbele yake kuna barabara kubwa ya rami.Ina Hati Miliki.Bei yake ni Tshs 180mil...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wapendwa Wana JF, Kwa kununua Asali Halisi ya Sanjaranda: Unachangia maendeleo ya Nchi yako, Unapunguza umaskini vijijini, na Unachangia kudumisha jamvi la Jamii, JF Tuwasiliane...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Prof. Haroub Othman...., On the sideline of Mwalimu Nyerere Intellectual festival, april in Dar es Salaam university....Dr willy Mutunga who happened to have been a student in Dar ...invited me...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…