Hey ya"ll...Kelly01 is baaaaack!.....
ANywhoo jamani namtafuta my long lost friend MS Kisura...nimejaribu kumcontact kwenye cell yake lakini naona ipo disconnected sijui amebadilisha...
Jamanieee!!
Nahitaji starlet milango mitano kwa haraka sana. Iwe automatic, rangi grey au black au red, iwe ktk hali nzuri na isiwe imetembea zaidi ya km 100000.
Kwa yeyote humu jamvini...
Dr. Alan Rodgers, has died in the morning of Tuesday, March 31, 2009 in Milpak
Hospital Johannesburg. He will be buried on 8th at Nairobi Lang'ata Cemetery!
May GOD rest his soul in peace...
Mimi ni mtanzania mwenye miaka 26. Nina interests ya kuwekeza na biashara. Natafuta financial coach au mentor mwenye interest kama hizo.
Asante kwa ushirikiano.
Anayetaka kusaidia please PM me...
Ni mkereketwa wa CUF alikuwa pale yombo vituka kwa Limboa, amefariki dunia siku ya Ijumaa na kuzikwa Jumamosi kijijini kwao Bagamoyo!
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amina!
Ndugu wanaharakati wanachama wa TYVA,Napenda kuchukua fursa hii kwa niaba ya TUME YA UCHAGUZI ya asasi ya TYVA inayoratibu zoezi zima la uchaguzi kutangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa kutoa fomu...
Gari inauzwa aina ya Suzuki Escudo milango mitatu.
Ina usajili T991 ADQ
Mwaka: 1993
Iliingia Tanzania kutoka Japan 2004 na imetembea kilometa zipatazo 130,000.
Ipo katika hali nzuri sana na...
Tafadhali mwenye simpo accounting program based on excel hata ikiwa ni ya kutengeneza mwenyewe anipatie. Nimeanza kuwa mjasiriamali wa uzeeni sasa mahesabu yanaanza kunichanganya.
Thanks in...
habari wana JF
Natafuta Nyumba ya kuishi maeneo ya Kurasini, Karume au karibu na mjini.
Iwe ya chumba kimoja au viwili vya kulala pamoja na Nakshi nyingine muhimu ndani ya nyumba kama Jiko...
Waungwana,
Nimeamua kuuza gari yangu, aina ya Mitsubishi Pajero Mini, ya mwaka 1997, 4WD, ambayo iko kwenye hali nzuri.
Bei ni TShs 2.5 million, sishuki chini ya hapo. Nina shida ya hela, si...
Wakulu wa jamvi habari za siku.
Nina shida mbili ambazo nitahitaji ushauri wenu, Hapa Tanzania ni kampuni gani inayotoa service ya Domain Registration kwa bei nzuri na ambayo siyo yakubabaisha...
wadau nahitaji sana kuwapata maajent wa sony-bongo kwani natafuta sana remote control ya radio yangu (orijino) nimetafuta sana madukani nikakosa labda wanaweza kuagiza nje
Habari wana jamii,.
Niko hapa university of dar namalizia kozi yangu ya school of law, baada ya hapo ningependa kwenda kusoma masters nje ya nchi ili niweze kujifunza maisha,utamaduni na...
HI ya"ll...I just want to let you know that nachukua likizo bila malipo kuingia hapa JF.....I have some business to take care and also i need to smell some fresh air......
You all have a...
Wandugu
Natafuta nyumba jijini Dar es Salaam kwa ajili ya familia (muhimu iwe yenye vyumba viwili vya kulala na parking).
Naomba yeyote mwenye kujua au anayepangisha nyumba anitaarifu...
Members,
If there is anyone who has been through the army or at least JKT, could they assist me in this matter.
I need the drill commands that we use for marching. I know some of them but I...
Salaam!
Ninatafuta contacts za Chama cha Maalbino Tanzania na hasa viongozi wake. Yeyote mwenye kuwa nazo naomba tafadhali mnipitishie. Ni muhimu sana.
Shukrani.