A 2bedroom flat will be available to occupy 1.10 08 rent $700 per month,1year rent required.Send a personal message or e-mail lagatege@yahoo.com NO AGENTS PLEASE
JAMANI MAMBO VIPI WANAJAMII MIE NI MOJA KATI YA WATANZANIA WASIO NA AJIRA LAKINI NIPO KATIKA MCHAKATO MZIMA WA KUTAFUTA KAZI LAKINI NIMEONA NI BUSARA NIKIWASHIRIKISHA WANAJAMII WENZANGU KATIKA...
Msaada Mpya katika kukamilisha Project yako
Microcontrollers
Kutoka Microchip Technology PICs za 8bits na 16bits zipo
Programmer [kununua/ kuazimisha]
Vitabu muhimu vitakavyokusaidia...
Wakuu,tafadhalini yeyote ambaye anaweza kunisaidia procedure yote ya registration ya dairy produsts kule TBS and costs.
Nimechambua laws mpaka nimechoka.
Its urgent tafadhalini!
Vifaa mahsusi kwa ajili ya kutumia simu(voice) kwenye gari vinawasili nchini karibuni.
Vifaa hivyo ni pamoja na vifuatavyo(nimeweka na technical function)
1. back mirror system (3 - 5 Units)...
Ninasikitika kuwatangazia ndugu jamaa na marafiki kuwa kaka yetu mpendwa Wibert Matoka hatuko naye tena Duniani. Amefariki leo hii 31/08/2008 Dar es salaam katika Hospital ya regent. Alikuwa...
WanaJF nimepokea taarifa hizi za msiba wa ndugu yetu na mtumishi aliye kuwa na wito kwa vijana Mchungaji joseph Justine.
Mchngaji Justin amefariki tarehe moja mwezi watisa na msiba huu umegusa...
Ndugu wapendwa,
Naomba msaada wenu yeyote mwenye email address za Tumaini Univ, Iringa naomba anisaidie tafadhali, Kama ikipatikana ya VC itakuwa na msaada mkubwa zaidi.
Natanguliza shukrani
So much to be grateful for, so many blessings I have encountered. Na umri ndio huooo wasonga. Namshukuru Mungu I have just turned...........(guess what)
thanks to my loving spouse,sweet...
Tanzania Professionals Network
Annual General Meeting
Notice is hereby given that, the Annual General Meeting of Tanzania Professionals Network will be held on:
Date and Time: Sunday...
Mgonjwa wa akili ailiyeua wenzake kortini tena
Na Pauline Richard
MGONJWA wa akili, David Denge (21), ambaye anadaiwa kuua watu wawili na kujeruhi wengine wanne ambao walikuwa wanapatiwa...
JK amwaga vigogo sita
2008-08-23 15:43:59
Na Mwandishi Wetu, Jijini
Wale vigogo wanaotuhumiwa kuchota mapesa ya umma kwa manufaa yao, waliodhani Rais Jakaya Kikwete atawakingia kifua...
Natafuta wasambazaji wa kijarida cha bure walioko Tanzania TU!! Mpango uliopo sasa ni kuwa kijarida hicho cha kutoka kwenye mtandao kitakuwa katika PDF file. Unachotakiwa kufanya (mchango wako) ni...
Ndugu Makamaradi,
Napenda kuwaalika katika mjadala mpana na makini wa kujadili sera mpya ya vijana ambayo imezinduliwa mwaka huu 2008 ikiwa ni maboresho ya sera ya mwaka 1996! Kwa wale magwiji...
Source - Michuzi-blog.com
MNENGUAJI maarufu wa Bendi ya FM Academia, Rukia Bruno amefariki jana mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam .
Balozi Credo aliyejitambulisha...
Bongoland II is coming to Chicago next month. TWO SHOWS ONLY. This will be at the Gene Siskel Film Center. It is part of the Black Harvest International Film Festival.
The first show will be on...