RE
Usajili namba C
Imetunzwa
Aliekua anaendesha ndie mmiliki
Ina miaka 2 na nusu toka ainunue
Anataka kubadili biashara
Chombo hakina tatizo lolote
Inapatikana dodoma mjini
Anauza million 3
Mpigie...
From China to Tanzania. Pata les wig kwa bei rahisi kabisa.
Hii elfu 30,000/= zimebaki Pisi 10.
Linaosheka na kusetika,Unaweza ukabadilisha na rangi pia.
Hii elfu 35,000/= zimebaki Pisi 8...
Habarini wakuu,
Poleni na majukumu yenu ya kila siku
Kama kichwa kinavojieleza tunauza sabuni za magadi za Kigoma kwa bei Ndogo kabisa ya Tsh 1,000 kwa mche.i 👇👇👇
Karibu tukuhudumie.
Maelezo: Shamba linauzwa Liko maeneo ya Lutukila,Madaba(Km 1 kutoka barabara ya Songea -Njombe)Ukubwa wa shamba eka 100; Mazao yaliyopo,korosho eka 20,mitiki eka 5,parachichi eka 3,Kuna bonde la...
Habari njema kwa wamiliki wa shule,vyuo, taasisi za tafiti, n.k
👉Tunauza apparatus aina zote ,chemicals, na vifaa vya maabara aina zote.
Kwa mashuleni,vyuoni na taasisi mbalimbali za elimu na...
NAUZA SPEAKER AINA YA SONY SS-LB 455
Hizi ni SPEAKER ORIGINAL USED zenye nguvu kwa Usikivu mzuri wa sauti na MDUNDO wa nguvu.
Zipo SPEAKER Mbili ambazo kila moja ndani ina Speaker Nne.
Ina...
Karibu ujipatie sandwich tamu kabisa kwa ajili ya nyumbani, sherehe, harusi na kazini. Tunachukua orders ya mapishi pia kwa ajili ya snacks za aina zote.
Mi TV Box S inauzwa kwa bei chee. Hiki ni kifaa kinachoipa uwezo TV yako ambayo siyo smart TV kuwa smart TV na pia hata kama TV yako ni smart lakini haina android OS basi unahitaji kifaa hiki ili...
Subwoofer yenye Amplifier ndani
-Watts 1000
Mdundo Kama Wote[emoji344]
Kwa ajili ya Gari[emoji593] lako au Bajaji
Zinapatikana kwa Jumla na Rejareja
Bei
90,000/=
Tupo Kariakoo-Dar es Salaam...
Sony Playstation 3 inauzwa. Imetumika kwa muda wa miezi minne tu.
->HAINA TATIZO(KIPENGELE) chochote
->Imechipiwa na ina game zaidi ya 6 ndani.
->Nakupa na padi mbili, waya wa kuchajia padi na...
Habari wana-jamiiforums,
Tunauza mashine za kutengeneza Icecream (Icecream Makers Machines). Mashine zetu ni mpya kabisa. Pia endapo utanunua kwetu, tutakuelekeza jinsi ya kutengeneza icecream...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.