Weka tangazo,mahali ulipo bei ya saa na aina yake pamoja na namba ya simu
karibuni.
Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo...
Mmoja ni wakusimama "full'' bei yake ni 45000/
Mingine 15 ni ya blauzi 3500
Ni used nlikua nafanyia biashara nimeacha
Bei hizi hutapata popote.
Location: Tabata kinyerezi
Call: 0783391278
Printer ya EPSON L382 kwa Tsh 280,000/= tu . Iko clean kama mpya haijawahi kurefill tangu upya wake.
Ina 1. photocopy colored na black &white
2. printing colored na black & white
3. scanning
4...
Ni freezer aina ya Syinix.
Lita 263
Ni used lakini kama mpya.
Haijawahi kuwa na tatizo wala kutengenezwa.
Inapatikana Dar es Salaam.
Nauza tsh. 500,000 au kama una friji ya kioo (show case)...
Habari wakuu
nimekuja na ofa ya hizi taa zikiwaka zinaonyesha sign ya piano
Watu wote wanaweza kutumia
1. Kama unafanya kazi usiku na huhitaji mwanga mkali hii itakufaa sana
2. Kama unapenda...
Nauza bidhaa zifuatazo:
Friji ndogo linapoza na kugandisha vizuri utalipata kwa 140,000 tu
Water dispenser fully box utaipata kwa 160,000 tu
Mini friji linapooza na kugandisha vizuri utalipata...
Habari,
Husika na kichwa cha habari,
Mitambo ya ujenzi kama excavators, faw tippers, wheelloaders, weighbridge, drill machine etc inauzwa. ipo Lugoba Tanzania.
Bei ipo kwenye picha
0658007766...
Kin'gamuzi Cha Startimes kinauzwa, kipo na antenna yake pamoja na waya wake, Bei TSH 40,000 napatikana Pugu Kigogo Fresh, DSM,
Mawasiliano 0625579184
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums...
Nauza Printer Epson L805 imetumika mwaka mmoja tu. Inaprint sticker na picture vizuri na haibaguwi karatasi. Pia inaprint CD. Printer hii haina tatizo lolote kabisa. Inapatikana Mwanza Nyamagana...
TVS 150
AMEMALIZA MKATABA KIJANA
ANATAKA KUIUZA
YUPO DODOMA MJINI
DOCUMENTS ZOTE ANAZO
BEI 1,500,000/=
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
banda kubwa zuri la bati linauzwa bei 280,000 tu maongezi kdg yapo halina tatizo lolote!lipo kigamboni linahamishika kama unalihitaj nipigie 0653110660
Goodmans HD Projector UK Brand
Model : 363566
Full HD Projector 1080p✅
2000 LUMEN Led ✅
Built in Speakers✅
2 HDMI input + VGA✅
USB (Flash pamoja na SD Card)✅
Bluetooth (Unaconnect kwenda...
Nauza subwoofer ya Gari. Imekuja na Gari. gari ina mziki mkubwa sana naiondoa.
inakuja pamoja na waya wake wa kufungia
Ina mziki mzuri sana. ukiwa na hii Huhitaji kujaza buti zima mamitungi...
KILIMO NI BIASHARA
POWER TILLER OR WALKING TRACTOR
BRAND SHAKTI MADE IN CHINA LAKINI IMEDIZIINIWA KWA SOKO LA INDIA .
Hii ni nzuri sana kwa kulima,kupalilia,kuengeneza matuta nk.ina matairi ya...
Simple design
(Ramani)
3 bedrooms
Kitchen
Store
Dining
Living room
toilet
Tofali 3300
Kiwanja kuanzia mita 18 kwa 20
Get the plan
+255678418272
Whatsapp
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.