Habari za wakati huu wamachama wote wa JF ,Nina uza hiki kufaa chenye usb ports 4 pamoja na waya mfupi wa type C, kifaa hiki kitakuwezesha kuchaji simu tano kwa wakati mmja endapo uta connect usb...
Nauza duka bei 3m haishuki, limelipiwa kodi mpka mwaka unaisha,lina leseni ya biashara inaexpire mwakani mwez wa 4 pia lina dawa za kuanzia na makabati 4 ya aluminium na mlango wake.
Location ipo...
Kama kichwa kinavyosema used engine kutoka Dubai, inaweza kufanya kazi kwenye nissan sunny, nissan match na nissan saloon inauzwa iko complete na gearbox yake mwisho Engine haijawahi kutembea hapa...
Habari,
Kwa yoyote anayehitaji hii machine, naiuza, ni yangu, nimeitumia kwa miezi miwili tuu, ni nzima kabisa, nauza kwa sababu nimekosa muda wa kusimamia, machine ipo Morogoro.
Bei ni...
Habari
Karibu ujipatie shuka
Duvet
Duvert cover
Carpet
Pazia kwa bei poa
Tupo ubungo
Whatsaap 0746374457
Dar delivery ipo ni juu ya mteja
#your taste is here
Solid State Driver (SSD) Ndo suluhisho la uzito wa Computer yako! Simple tu Unatoa Hard Disk unaweka SATA SSD ata kama machine yako ina Ram GB2 lakini ukiwa na SSD Computer yako itakuwa nyepesi...
Iko katika hali nzuri ni ya January 2021.
Ina vitu na nyaraka muhimu kama ifuatavyo:
1. Bima hadi Feb 23
2. Latra hadi Jun 23
3. Mapato TRA hadi Dec 22
4. Imefungwa GPS
5. Imejengewa vizuri...
Habari wakuu
Kwa anayehitaji Containers za 40ft ziko katika condition nzuri kabisa na zipo nyingi kama unahitaji basi nicheki tuzungumze
Bei 4600 USD
LOCATION KURASINI
.
Banda la biashara linauzwa lipo kigamboni dar es salaam,ni kubwa na linahamishika,halina tatizo lolote bei ni 380,000 tu! Nipigie 0653110660. Kama haupo mbali sana na kigamboni nakuletea FREE!
Nauza kabati la aluminium la kioo.
Bei Tsh 120K
Ukubwa wake. (77,65,37cm)
Mahali : Dar
Simu no:0658 106 630
Utakuwa umeokoa 40% ya gharama yakutengeneza kabati jipya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.