Habari zetu kupitia JF zinafika mbali sana.
Ishukuriwe platform hii kwa kutusaidia kuonekana kupitia mijadala yenye tija hasa kwa sisi eneo letu la ujenzi na hamasa tunazopeana humu.
Tunapenda...
Jichukulie Hii Gari kwa Bei ya January
Gari ni 6 cylinder
Year of made: 2006
Mahali iliko: Dar
Mileage: 120,000km haizidi hapo
Bei: 21 Mil Negotiable (inazungumzika)
Inahitaji Marekebisho...
Habari Ndugu,
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Brand zilizopo ni Hisence na Boss
Bei ni 750,000 (Mazungumzo yapo boss)
Mahali zinakopatikana ni Kimara darajani (Kimara mwisho)
TV zilikuwa...
Salama ndugu zangu, kwa machinga wa karume dar es salaam poleni sana.
Nina shida na computer LAPTOP nzuri ambayo bei yake ni ya range 250,000/= (laki mbili na elfu 50) mpaka 350,000/= (laki 3 na...
Nauza simu, one plus 6t Gb8 ram, rom gb 128
Imetumika miezi miwili tu (imenunuliwa December 2021)
haina tatizo,
bei 800,000
call me 0713096076
Ipo Tanga
Habari ya mchana wakuu, nina tani 1.5 ya maharage ya njano mviringo (goroli) kutoka Songea, gunia tatu ni maharage niliyovuna June 2021 na yaliyobakia nilivuna March 2021. Mali ipo tandale sokoni...
Habar zenu wana jf, nimeanza ujasiliamali kidogo kidogo kwa kulima shamba la Alizeti na kwa sasa nahitaji mashine kwa ajiri ya kukamua mafuta. ni wapi naweza pata mashine.
Kuna matapeli maarufu kwenye mtandao wa Instagram, hii account yenye jina la zanzibar_electronics_og ni matapeli ambao ukiangalia utadhani ni wafanyabiashara wakubwa kulingana na followers...
Smartphone for Sale
Grab this Offer Now!
Xiaomi Redmi 7
Rom: 32 GB ( store more videos, photos,etc)
Ram : 3 GB
Condition: Used but still in a good condition
Battery: 12 hrs +
Delivery: From Dar es...
Fursa pekee hii inawajia wale walioamua kumtukuza Bwana kupitia kwa vipaji vyao vya kuimba.
Kuna web series (show itakayokuwa inarushwa mitandaoni) iko katika hatua za mwisho kuanzishwa...
Siku chache zilizopita nilikuwa nauza Pasi aina ya Phillips, (original) kwa mlionunua na kuzitumia mnaweza kushuhudia ubora wake!
Baada ya kumaliza pasi sasa Nina CARDETS ORIGINAL KABISA...
husika na kichwa cha habari nina kama milioni tatu keshi hapa 3,000,000/= nahitaji usafiri wa kupigia misele hapa mjini mwenye nalo aje dm tuyajenge...location Dar
Fursa ya Ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa ni kubwa sana nchini.Kwa wastani Tanzania huzalisha maziwa lita bilion 3 kwa mwaka huku karibu lita bilioni 1 pekee hutokana na ng'ombe wa kisasa. Hata hivyo...
Habari za Leo Wakuu,
Husika na Kichwa cha Habari, Nnauza Cherehani Mpya Inayoshona na Kudarizi kwa Kutumia Computer. Mashine hii niliigiza from USA, ili Nije Kuitumia kwenye shughuli zangu za Ku...
Habari Wana Jamie forum
Nahitaji msaada kwa mwenye Tonner za rangi nne
1.616c Tonner ndogo
2.622Y tonner kubwa
Naomba bei pia nitumie picha kuhakikisha kama ni wenyewe
Nahitaji Box 100 plus...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.