Habari wanabodi.
Kama kuna mtu anauza nyumba au kiwanja Dodoma Area D aweke hapa. Tafadhali useme ukubwa wa kiwanja na bei yake (useme kama ni nyumba au kiwanja tupu)
Shukrani.
Habari za wakati huu wana JF,
Nimekuwa kwenye biashara ya simu kwa muda mrefu, kuna simu nyingi sokoni zingine zikiwa used, refurb na mpya.
Kwa simu za Iphone simu mpya huwa ni ile ya mwaka...
Habari wanajamvi
Nilikuwa nahitaji msaada wa kufahamu wapi naweza kupata rennet kwaajili ya matumizi ya kutengenezea cheese (specifically aina ya mozzarella)..
Katika pita pita zangu naona nyingi...
Leo nitawaelekeza lugha zinazotumika ili kulangua bidhaa hizi kama simu na accssessories zake yaani cover's,earphone nk.
Wenye kuhitaji simu na makava ya simu protector yaani kiufupi accsessories...
Wakuu, kimfaacho mtu chake. Nina hali mbaya kiuchumi aisee, nimeamua kuuza laptop yangu aina ya lenovo
RAM 8 GB
Storage 256 GB
Bei ni 550,000/=maongezi kidogo yapo.
Kwa mwenye kuihitaji anicheck...
Wakuu natafuta kiwanja Dar es Salaam cha million 4. Aisee nataka na mimi niwe na kwangu nimechoka kupanga kumfaidisha mwenye nyumba pesa. Nipo serious.
Bei ni 230k nipo dar
Problem ni hii nilinunua mwezi wa kwanza mwaka huu refub, ishu ni inapassword kwenye eufi sijui ni bios (ambayo siijui na niliponunulia warranty ni miez sita)
Ram 8GB,
Ssd...
WAJASIRIAMALI hongereni kwa kuufikia mwaka 2021 mkiendelea na mapambano
kama ni miongoni unatafuta mashine au taarifa zake karibu tupo tutakusaidia Jorina store lolote zaidi call/sms/whatsapp...
Nauza drill full box mpya(Ina bit tano na vichwa viwili)
Inatoboa zege,chuma na mbao
Ina sehemu ya nyundo,inazunguruka pia na sehemu zilizoungana zoye hizo
Zipo pcs 8
Bei 180,000
Nipo temeke Dar...
Anaehitaji softwares setup za Pc pamoja na games aje tuyajenge.
Adobe Photoshop, illustrator, after effects, premiere pro, InDesign n.k
Adobe master collection, 2021, .... 2024,2025
Microsoft...
Salaam wadau....Natafuta chumba cha kupanga morogoro mjini. Kiwe self, itapendeza nikipata maeneo ya karibu na hospital ya mkoa. Mwenye connection tuwasiliane tafadhali.
Habari ya mchana kama Kuna yoyote Humu anauza laptop ikiwa clean. Condition itakuwa vyema
Brand iwe kati ya hizi HP, dell, Asus iwe card ya Nvdia Mx ndani
Napatikana Ukonga karibuni Dm