Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari Waungwana! Mwenye kujua mtambo wa kusafishia picha unanunuliwa sh. ngapi na huwa unaitwaje tujuzane jamani.
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key).kwa magari aina zote yaani TOYOTA,VW,BMW,FORD nk. Kama unahitaji funguo ya...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Mambo Ninafikiria kutengeneza sakafu ya nyumba yangu. Options zilizopo ni tiles terazzo au sakafu ya mbao. Kwa wale wenye uzoefu wa ujenzi, sakafu ipi kati ya hizo ni cheapest kujenga?
0 Reactions
34 Replies
15K Views
Wakuu Niko dar es Salaam, Naitaji Samsung note 10 Bajet ni sh laki saba cash Simu iwe kwenye hali mzuri no michubuko kabisa, Mwenye nayo ani dm
0 Reactions
1 Replies
816 Views
Kwa wale wahitaji wa makaburi ya marbo na design Aina zote kindly inbox
3 Reactions
18 Replies
14K Views
Msaada wenu muhimu Nimejichanga vimilioni hivyo nahitaji hiyo gari rangi nyeusi. Nipe jina la dalali maarufu atakayenipa gari iliyokaza bodi hadi miguu kwa bajeti yangu hiyo Au kama yupo hapa...
0 Reactions
1 Replies
906 Views
Sifa za kiwanja 20*20m Kina msingi wa kisasa Vyumba vitatu, kimoja master, sitting, dinning na jiko Kinafikika kwa gari Umeme na maji vipo karibu Mazungumzo mengine yapo
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu bado sijapata IST natafuta offer yangu ni 7m
1 Reactions
8 Replies
866 Views
Kwa wamiliki wa vituo vya Radio wanaohitaji Live Radio streaming Ninatoa Radio streaming service @ 128Kbps kwa Sh 100,000 tu kwa mwezi *Radio itapatikana kwenye Tune-in, streema.com na embeded...
3 Reactions
1 Replies
902 Views
INAPANGISHWA NYUMBA ( APARTMENT ) Mahali: Kinondoni, Dar es Salaam Bei: Tsh 600,000 kwa Mwezi, Malipo: Kodi ya Miezi 6 FEATURES: Nyumba Vyumba 2, Chumba kimoja ni Masta Sebule. Jiko. Choo cha...
1 Reactions
5 Replies
993 Views
kwa mkulima mzalishaji wa mbegu ya vitungu vyekundu led bombey or led creole . Nahitaji debe 1 la kupima kwa ndoo. plan yangu ni kulima ekari tatu. Location ya shamba ni Sumbawanga vijijini...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu? Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Nina wazo zuri sana, ambalo nimeshaliandalia PROPOSAL tayari. Wazo hili utekelezwaji wake unahitaji APP na WEBSITE vyote kwa pamoja. Ila...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Computer Monitors zipo sokoni, zipo mbili 1. Brand: Targa Visionary. Specifications Screen Size 19'' Video Input DVI-D Built-in Speakers Condition : Used 2. Brand: AG neovo Specifications...
0 Reactions
1 Replies
530 Views
Nauza motor za umeme ni mpya kabisa toka kampuni ya maarufu sana ya vifaa vya umeme ya ABB , bei ni sh 400000 kila moja . Kwa anaehitaji piga simu 0712652110 DAR, Angalia label ya...
0 Reactions
1 Replies
745 Views
NAUZA floor scrubbing machine ziko mbili pamoja na pad zake , ni nzuri sana kwa wale wenye mahoteli au tenda za usafi. Bei ni sh 400000 kwa machine moja na pad 3 , Anehitaji piga simu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni silver chain gram55 Aina ni kingsize Pure italy Price ni 385,000 tzs 0743233710 0628877760 Niko Arusha
0 Reactions
0 Replies
628 Views
Habari, wakuu. Natumai muko wazima na afya kamili. Ninapenda kuwajuza ya kwamba natoa ofa ya kutengeneza business account ya paypal na kuweza kupokea hela straight katika credit card yako au...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Nauza iPhone seven plus Storage gb32 Battery 🔋 💯 Fingerprint ✅ Clean condition Bei 480,000 Used for 4 months Uhasibu, DSM---0625750755
0 Reactions
6 Replies
992 Views
MSI gaming machine Core i7 - 7th gen RAM 16gb HDD 1tb SSD 256gb Nvidia Gtx 1060(6GB Dedicated) Used [emoji338]0784545494 Bei 2,850,000 Tupo Karibu na Mlimani City Mall Njia ya kwenda...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Ps3 games & ps4 games installation Pata games kali za ps3 kwa bei chee sana Elf 5 tu Game zote tunazo,farcry,call of duty,fifa,pes,uncharted,gta v,mortal kombat Pia tunachip ps3 kwa elf 10000...
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Back
Top Bottom