Habari wadau..
Nauza wheel chair za mtumba.. nzuri kabisa zipo mbili..
Yenye draft draft bei yake ni Tsh. 200,000. na nyingine nyeusi bei yake ni Tsh 150,000.
Namba ya simu ni 0692 275 229
Pick-up double cabin
White
Imported from: great britain
Manufactured: 2004
Manual
2kd
D4d
Current location : moshi
Whatsapp /call 0713683422
Owner is a doctor
Reason for selling...
Wana-JF kuna brand mpya ya Digital tv zinaitwa Sansui kuna jamaa yangu yupo Japan ameniambia anataka kunitumia niziuze.
Swali ni je hizi tv zinaubora kweli na zitauzika? Mwenye uelewa tafadhali...
Suala la Ardhi ni suala pana sana na mtambuka, ni suala linalogusa kila mtu kwa sababu kwa namna moja kila mtu anamahusiano na Ardhi ya moja kwa moja au kupitia ndugu, jamaa na marafiki.
Pia...
nauza SSD mpya zenye ukubwa wa GB 240 kwa ajili ya laptop na desktop, SSD hizi ni brand ya kingston (A400) unafungua mwenyewe zipo sealed na hazijawahi kutumika. hii model imetoka amazon na sasa...
Hello, kama unahitaji huduma tajwa hapo juu..
kununua kiwanja/viwanja
kununua nyumba
karibu tukuhudumie ndani ya jiji la Mwanza (igoma, kisesa, nyegezi, n.k)
Mawasiliano; 0744033555
Falsafa yangu ni kutafuta kusudi, kuifuata kupitia ujifunzaji na kusambaza maarifa kwako.
Falsafa ni mtazamo au nadharia inayoongoza tabia yako kwako mwenyewe, mazingira yako na uhusiano kati...
Nyumba nzuri ipo kwenye mazingira mazuri yenye maji ya dawasa Massa 24, Umeme Luku yake, pia ina uzio na geti.
Nyumba ina sifa zifuatazo:- Vyumba 2 ( Masta 1), Sebule, Jiko na Choo cha Wageni...
Vifaa tajwa hapo juu vinauzwa.
Keyboard na Battery za Hp na Hp Compaq Laptop series.
-Used
-Keyboard haina michubuko wala tatizo lolote.
-Battery zinakaa na charge 2hrs na zaidi
Keyboard spare #...
UPDATE:
Viwanja kwa bei ya M1.8 kimebaki kimoja. eneo jingine bei ni juu kidogo.
LOCATION:
Mabwepande, Dar es salaam
Zinapogeuzia daladala za kutoka Makumbusho hadi kwenye viwanja ni kama umbali...
Mambo vipi wakuu.
Naomba kujua bei ya ufuta kutoka shamba inanunuliwa kwa shilingi ngapi kwa kilo nina kama gunia tano 5
Nipo Moshi Kilimanjaro, mawasiliano 0657291795
wachimbaji visima virefu Tanzania pia tunafanya tafiti za maji ardhini (surveying)
mikoa yote tupo kwa maelezo sahihi ya mteja wapi upo mkoa gani na sehemu gani basi wasiliana nasi kwa namba...
Ndg, mdau hivi karibuni nimeitambulisha kampuni ya KDS hapa Jf ambayo imejumuisha wataalam kwenye masuala ya ujenzi, moja ya vitu ambavyo havijulikani garama halisi ni pamoja na ujenzi wa Swimming...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.