Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari! Natafuta hilo jiko ambaye anauza tunaweza fanya biashara. Pia kama kuna mtungi wa gesi hii mikubwa nao nahitaji. Mawasiliano 0743451357. Hata ukinisaidia connection jinsi ya kuyapata...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza IST mpya kabisa haijasajiliwa na ina cc 1490 ya mwaka 2004 kwa bei ya TZS 12,000,000 ikiwa imejumuisha kodi na gharama za kutolea bandarini. Tuwasiliane kwa namba 0736770052.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau, tunawapenda kuwaalika watu wote wanaohitaji huduma ya usafi majumbani, maofisini pamoja na kunyunyizia dawa wadudu wasumbufu kama vile mende, mchwa, kunguni, mbu, nyoka nk...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello JF. Karibu tukuhudumie katika Mahitaji ya kununua Nyumba katika maeneo mbalimbali ya jiji kama igoma nyegezi kisesa n.k Kununua viwanja na mashamba ndani ya jiji la mwanza sehemu kama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauza IST mpya kabisa haijasajiliwa na ina cc 1490 ya mwaka 2004 kwa bei ya TZS 12,000,000 ikiwa imejumuisha kodi na gharama za kutolea bandarini. Tuwasiliane kwa namba 0736770052.
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Kiwanja kizuri sana, Kipo Goba inayopakana na Madale/Mivumoni Ukubwa wa Kiwanja - Mita za Mraba 400 (Unajenga na Nyumba ya Vyumba 3 na eneo linabaki kwa matumizi mengine i.e parking) Bei - Tshs...
1 Reactions
0 Replies
673 Views
Make : Nissan Model : Micra Year : 2001 Engine capacity : 1290cc Manual Transmission Full ducuments Price :Tshs 6M Call : 0628660089
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Helow friends, Poleni kwa uchovu na hongereni kwa kuianza weekend. Kwa wale wanaoanza maisha leo nataka kukueleza vitu vichache tu; najua huwezi kuanza maisha bila vyombo kuna rangi chache ni...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Chumba kimoja cha kulala pamoja na sebule. Eneo: Mbezi Beach Bei Tshs 100,000/Mwezi Maji ya dawasa yapo masaa 24, Usalama Upo wa kutosha, Ipo umbali wa dakika 2 kutembea kwa mguu. Tuwasiliana...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
PURE LEATHER SANDALS[emoji91] Brands; Tods, Channel, Timberlands, Lacoste, LV..[emoji91] Sizes; 40,41,42,43,44,45 Prices; TSH.50000/= 0655297947 call/watsup tupo k.koo mikoani tunatuma
0 Reactions
5 Replies
1K Views
pata huduma za kuprint kwa bei nafuu colour printing a3 1000-hii ni full colour kwa karatasi yoyote ,gross 300-150.mate paper film kwa ajili ya ramani ni . A3 tsh 1500, a4 tsh 800 colour a4...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Pikipiki hizi zinauzwa Kila moja ni Tshs 2.2milion Location Dar es salaam Call 0744033555
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nauliza wapi wanapotoa Copy kwa bei rahisi DSM Tshs 30 mpaka 25. Nasikia maeneo ya karibu na taasisi za kielimu i don't have ideas anapajua anipe Address.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wadau. Kama Kuna yeyote mwenye platform ambayo shule inaweza kutumia kwa kutuma mitihani online kwa wanafunzi wake kipindi Cha likizo, tafadhali anijuze. Cha msingi sana, Mwanafunzi awe...
0 Reactions
0 Replies
396 Views
Laptop inauzwa. Toshiba Satellite C650 Ram : 3gb Processor: Intel (R) core i3 , 2.27 gHz Window 10 Bei: Laki mbili na elfu ishirini (250,000) Mahali : Kigamboni Sababu ya kuuzwa: Matatizo ya...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Chumba na sebule vinapangishwa musoma ,mtaa wa majita road.. Bei ni 60000/-kwa mwezi Contact;0752195525
0 Reactions
1 Replies
579 Views
Samsung s6 edge Ina crack mbele ambazo hazina madhara Hazionekani sana Camera safi Fingerprint Face unlock Rom 32 Location: Dar Kimara-Suka Price : 170k 0654224700
0 Reactions
4 Replies
911 Views
Nauza mahindi KWA sh 55,000 (gunia) Debe la mahindi utapata KWA 8500 Kila jumamosi mzigo unaingia wote mnakaribishwa. Bei ya debe la mahindi KWA Dsm ni kuanzia 10k. Ila ofa hii ipo KWA kipindi...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Bado tunasisitiza UBORA NI KIPAUMBELE KWETU. Karibu Ujipatie Business Cards (Plastic Material) zenye ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu sana. 30,000/= per 50 Pcs. Tunapatikana Dodoma lakini...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, Nauza gari Aina ya Toyota Verossa number DAK haina tatizo lolote unawasha gari na kwenda safari kokote, gari ni yangu mwenyewe nauza ili nibadilishe au pia tunaweza kubadilisha...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom