Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Ipo katika hali nzuri kabisa Ram gb 3 Storage 32gb Simcard & memory card 250,000 Nipigie humu 0715 378899, napatikana Kariakoo
0 Reactions
3 Replies
631 Views
Habari zenu waungwana, Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti inauzwa shilingi ngapi na wapi zinapatikana?
1 Reactions
3 Replies
3K Views
IPhone 6 GB 16 Battery health - 85 Price: 250K (Negotiable) Kimara Baruti Used one year 0623325015
0 Reactions
1 Replies
655 Views
Kulingana na taarifa ya Mamlaka ya bima nchini (TIRA) Watoa Huduma walielekezwa kuanzia Tarehe 01.04.2021 Kutumia Stika za kielektroniki badala ya stika za kawaida zilizokuwa zikitumika awali...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Soko la mayai ya kienyeji linahitajika haraka. Bei ya jumla kuanzia Tray 10 Chini ya hapo utauziwa leja leja. Mzigo unapitaka mara moja kwa week kama upo serious njoo pm tuongee. Mzigo wa kutosha.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mbao kutoka shambani, zinepandwa 1.1.2000 zinauzwa kuanzia shs 70,000 ziko mbao 103 size mbalimbali 9x2, na 7x2 . 0765004347 au 0622303759 Zinapatikana Mvule 103
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Kiwanja Kinauzwa Ukubwa: 800 Sqm Eneo: MbeziBeach Mahali: Mita 400 Kutoka barabara ya bagamoyo. Bei: Tshs Milioni 80 Document zote zipo Contact Us: 0716442950
0 Reactions
0 Replies
532 Views
Kwa mahitaji ya Mashuka Size 5*6 sh.22, 000 (mashuka mawili+Foronya mbili) Size 6*6 sh.30, 000 (mashuka mawili+Foronya mbili) Size 8*8 sh.60, 000 (mashuka mawili+Foronya nne) Delivery zipo kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nyumba ya Vyumba viwili, Chumba kimoja ni masta pamoja na sebule, jiko na choo cha wageni. Mahali: Sinza Bei: tshs 400,000 Kwa Mwezi Eneo lina uzio na geti, Usalama wa kutoshsa, maegesho ya gari...
0 Reactions
1 Replies
674 Views
Alternator aina ya Bosch 150A kwa BMW E90 3-series. Ni used lakini inafanya kazi vizuri. Bei laki 5. Wasiliana 0759970963
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam waheshimiwa, nahitaji vyombo vya ndani ( geto ). Nahitaji kitanda, godoro, mtungi wa gesi, kikabati cha kizushi ( kibaharia) na vikoro koro vingine vya geto. Vitu ninavyotaka ni vya kijana...
0 Reactions
1 Replies
868 Views
Jamani nipo Dar, nauliza mwenye kujua sehemu ambapo ninaweza kupata spares za simu aina ya TEENO R5(smartphone), nimezunguka Kariakoo sehemu kubwa sijapata. Natanguliza shukurani za dhati.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Pata HOMEBASE SMART TV, inch 32, kwa laki 330 tu, -New model -Double screen(protector) - Warranty mwaka mmoja. -Free delivery kwa mbeya. Location Mbeya town. Zipo nyingi Call 0768-540772
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Natafuta IST iliyo kwenye hali nzuri, iwe haijawahi pata ajali, haijarudiwa rangi no D. Offer yangu ni milioni 7. Mawasiliano ni 0766049522.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau naomba kuuliza kwa mwenye kufahamu bei za engine za pikipiki anijuze . Engine iwe ya LIFAN, TOYO AU KINGLION AU SINORAY ziwe za 150cc
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Ndugu wana JamiiForums Nimeandika kitabu cha English na kimesha fanyiwa Editing na wataalamu wa Harvard University na Manhantan University .. ambao no Phd na Wasomi wa Linguistics. Kwa sasa...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Toyota Rav [DVE] Year : 2005 Engine Capacity: 2360c Low Mileage Colour : Silver Full options Excellent Conditions Location : Kijitonyama Price 28M Tzs Call : 0717436363
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Location:Mwanza Price:Milioni 11.5 Make:Toyota Model:Allion Year:2008 Mileage:89,000km Engine:1nz vvti,1490cc Condition:Excellent as New Call/WhatsApp:0784399081/0754405179 Mmiliki.
1 Reactions
1 Replies
679 Views
Habari ya leo dugu zangu, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nauza huu mzigo. , model sm_t819 storage gb 32 Ram 3gb Ipo katika hali nzuri kabisa, napatikana kariakoo. Chuma hichi...
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Back
Top Bottom