Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza gari aina ya RAV 4 Old model. Gari iko katika hali nzuri. Gari iko Arusha. Tazama picha. Bei ni TZS 8,500,000. Mawasiliano:0716470620
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwaka wa kutengenezwa 2001 Aina ya Injini 4D33 Uwezo wa Injini 4,210cc Uwezo wa gari Tani 2 Manual transmission Nyeupe Accessories AC Power Window Power Steering Mahali ilipo MWANZA Bei Tshs...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Battery health: 100% Camera: Quality with portrait Contact: 0745934834 Bei: 500,000 Tshs
0 Reactions
6 Replies
972 Views
Battery health 100% Camera:good quality with portrait With charger Contact:0745934834
1 Reactions
3 Replies
469 Views
1. Viko umbali wa 4km kutoka lami au 4km kutoka Dar es Salaam Zoo au 14km kutoka Kibada centre ama 23km kutoka ferry 2. Vimepimwa tayari kwa hati 3. Unaweza lipia hadi hati halafu tukakutafutia...
0 Reactions
0 Replies
570 Views
SOLD
0 Reactions
2 Replies
712 Views
Shamba la miti ya mbao ekari 80 linauzwa kijiji cha kibengu wilaya ya mufindi km 60 kutoka mafinga mjini, miti ina umri wa miaka sita. Mahali panafikika kwa usafiri wa aina zote. Bei elekezi ni...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau. Nina hitaji hii battery na chaja kwaajiri ya simu yangu ya mezani. Can someone please help before sijakata tamaa na kuingia mwenyewe mwituni kuvitafuta.....
0 Reactions
8 Replies
551 Views
Natumai nyote mna jioni njema kabisa kama ilivyo kwa upande wangu. Napenda kutumia fursa hii kuwataarifu nyote kuwa iwapo ikatokea unakuja mjini Bariadi kwa shughuli yoyote ile, iwe kikazi...
10 Reactions
144 Replies
22K Views
Hp elitebook 8460p Prosesa 2.7gh Gen ya 4 Hard disk 500gb Ram 4gb Corei7 Good condition Price 450000 tshs contact: 0757870230 inapatikana karume DSM
0 Reactions
0 Replies
586 Views
TANVORES tunawaunganisha wakulima, wafugaji na wavuvi pamoja na wachakataji wa bidhaa hizo moja kwa moja kwa wateja. Ni rahisi, tuma picha ya bidhaa zako, mawasiliano na mahali ulipo nasi...
1 Reactions
2 Replies
526 Views
Niaje kuku farm inakukaribisha wewe mfugaji mdogo na wa kati mwenye ndoto za kukuwa kwa speed nzur na kupata faida kwenye ufugaji wako katika mafunzo ya utengenezaji wa mashine za...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Nikon D3200 price;laki 6 na nusu 650k with all equipment Location Arusha +255682018204
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Naomba kujuzwa chimbo la spea za pikipiki za jumla
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Jipatie smartwatch kali inayosuport android na ios kwa bei ya jumla na rejareja t 500 Inatumia wireless charge ina kioo kikubwa full hd Unapokea simu kwenye saa yako inakutumia notification zako...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau, Nahitaji Howo tipa 6×4 Yaani yenye tairi 10. Iwe nzima, safi na tayari kwa matumizi. Iwepo Dar ili kurahisisha ukaguzi. Offer yetu haizidi 60M. Kama unayo tafadhali nitumie picha...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Wapendwa nawasalimu nyote Naomba kwa anayefahamu bei mpya za mashine ya luku ya umeme kulingana na aina zake na viwango vyake ..maana nataka kununua hiyo mita kwa matumiz ya salon yangu peke...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Heshima kwenu. Nauza kiwanja eneo la Kigamboni Kongowe mwembemtengu. Ukubwa 25/30. Bei m5 maelewano yapo. 0718545616. Karibuni.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanabodi Natafuta fundi wanaoweza kuni-designia mini coffee shop yangu kwa namna ambayo ni ya kisasa. Mafundi wazoefu karibuni kwa michango yenu.
1 Reactions
10 Replies
889 Views
Habari waheshimiwa Nauza apple imac core 2 duo mtumba kutoka nje(ziko nyingi) sifa zake Hdd 500gb ram 2gb (inaongezwa) nch 24 wide processor 2.8ghz core 2 duo graphics ATI radeon HD 2600 PRO 256...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom