Husika na kichwa hapo juu,siuzi moja moja kwa mtu anayetaka anayetaka itamlazim achukue zote mbili. Bei ni 220000.
Napatikana Dar es salaam kwa no 0693090099.karibuni
Habari wana jukwaa. Ninahitaji kiwanja cha makazi DSM eneo laweza kuwa kuanzia Kimara hadi Standi mpya ya Maili Moja Kibaha umbali kutoka Barabara ya Morogoro usizidi kilometer moja.
Kifupi nimeona nije Mwanza kwa kuwa ni karibu.Ila nilifikiria kwenda Dar maana Nairobi kuna usumbufu kwa sababu ya covid.
Nisaidieni Mwanza ni duka gani linauza hivi vitu?
√ cc 650
√ automatic transmission
√ too economy (less fuel consumption
√ sports rim (rim sport)
Conditions: mint
No accident history
Location: dar es salaam
Price: 6m
See photos below
Habari wadau,
Infinity works inatoa offer kwa wale wanaotaka kupendezesha nyumba zao kwa kuweka dirisha za aluminium.
Kutokana na ugumu wa maisha na upatikanaji wa fedha, tumeamua kuwaleta offer...
Habari zenu, naomba msaada wenu nilikua na shida ya mafuta kwa ajili ya kutengenezea sabuni naweza kuyapata wapi maana Dar siyo mwenyeji sana.
Pili nilikua naomba kuuliza kuhusu packaging za...
NIMEPANDISHA DAU WAKUU NATAFUTA TV FLAT LED TV NCHI 43 BEI YANGU NI 380K IKIWA SMART TV DAU LANGU NI 450K CASH (SMART INATEGEMEA BRAND DAU LINAWEZA KUPANDA)
NAMBA YANGU NI 0769939879
Anaejua mashine za kusaga plastics Hadi zinakuwa kama unga naomba info..
Hata kama mashine ni locally made..
Plastic kama chupa za maji na vifuniko vyake..
Anaejua wapi zinapatikana aina zozote za machines za kusaga plastics..hapa nchini naomba anipe info. Hata locally made.
Plastics nazomaanisha ni hizi kama chupa za maji na mifuniko yake.. wengine...
Grandstream gxp2140 IP Phone for sale
brand New, zinapatikana kwa bei ya tsh 80000.wahi kabla mzigo haujaisha kwani zimebaki chache.
contact: 0757870230
Natafuta juke box iwe mpya au used, naomba unipe na bei yako, unapatikana wp? Vile vile hataukinisaidia kwamba zinauzwa wp utakuwa mtu mwema maana sijui wapi zinauzwa hizi vitu hata kama nje...
-Eneo lipo Goba karibu na njia nne,limeface barabara ya lami
-Ukubwa wa eneo ni square meter 2961
- Eneo lina hati kwa matumizi ya sheli
Bei: maelewano na mmiliki
mawasiliano: 0765494548
Hello members ,
Jina langu Renyo Msuya,
Nafanya kazi na makampuni ya kuuza magari kutoka japan kuja Tanzania.
Niulize swali lolote kuhusu magari na bei zake , pia tuna import magari kwa bei nafuu...
Rola moja ya senyenge ina urefu wa mita 600,na senyenge ina unene wa milimita1.6.
Inafaa kwe fensi ya nyumba,maboma ya mifugo,shamba,nk.
Bei kwa rola moja ni 110,000/=.Zipo rola4...
Habari za wakti huu;
Kwa muda sasa nimekuwa nikizungumza na watu juu ya kuzalisha na kutumia Pesa. Jambo ambalo nimgundua ni kwamba imani yako kuhusu Pesa inaweza kathiri uwezo na kiwango cha...
Kitabu hiki kinapatikana kwa bei nafuu kabisa ya shilingi 7,000/= za Kitanzania.
Unaweza kununua nakala yako kwa
[emoji1428]Tigo Pesa: 0659-409447
[emoji117]M-PESA 0767 879406...
Habari za leo?
Nnahitaji pikipiki ya kufanyia kazi kwa mkataba, mimi ni mwanaume, umri wangu ni miaka 33, nina familia ya watoto 3, nipo Dar es Salaam, Tandika Magorofani.
Ikiwa pikipiki itakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.