Wakuu [emoji3577] Ni matumaini yangu wote ni wazima kabisa.
Nauza Jiko la njia nne ambazo tatu ni za gas moja ndo umeme kwa 280000 tuu fixed price.
Pia nauza Water dispenser aina ya Bruhm kwa...
Habari ndugu wana JF.
Msaada kwa anayejua wapi panakopeshwa pesa kuanzia 15,000,000 kwa dhamana ya vitu vya thamani Kama nyumba, gari ,mitambo n.k
Nawakilisha.
Vipo vitabu vya Pure Mathematics, Geography, History pamoja na English kwa ajili ya wanafunzi wa form 5&6. Vitabu vimetumika, ila vipo katika hali nzuri.
Bei:
Pure Mathematics 1 = 25,000
Pure...
Tunafunga Gps car tracking system kwa siri ili kuzingatia ulinzi na kujua mwenendo wa gari , bajaji, pikipiki yako kwa bei nafuu.
Tupo Dar Es Salaam na pia kwa mikoani tuna mawakala wetu.
Kuona...
Kiwanja kizuri na kikubwa kinauzwa Tabata. Bei mil 11
Ukubwa ni 30*30
Huduma zote zipo maji na umeme.
Mita chache kutoka barabara kuu ya mawenzi.
*ardhi ina mchanga mwingi utapata was kujengea...
Spika zinauzwa aina mbili tofauti moja ni aina ya tiger zipo,mbili ndefu na mbili fupi
zote zina mixer yake na ni mpya kbs hazijatumika spika mbili kubwa bei yake ni 400,000 ,zinatumia...
App ya Piman tv max inapatikana Playstore kwa kusearch neno Piman tv, Lakini App hii Haijazinduliwa hivyo tumei publish playstore kwenye kipengele cha Development.
Karibu kwa Ushauri wako wewe...
Nyumba ipo Bomangombe Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro Ngalawa Road, nyumba bado ni mpya na ina room nne za kulala. Ambazo mbili ni master, ina sebule kubwa, jiko, stoo pamoja na dining.
Bei...
pata meza ya kulia chakula ya kioo kwa sh 90000 pia kuna friji dogo mlango mmoja kwa 180000 pia kuna sofa la ngozi bado lipo kwenye hali nzur kabisa kwa 180000. vitu vinapatikana dar gongo la...
Hello Jf.
Kiwanja kiko katika mazingira mazuri mazuri kama kinavyoonekana
Kishapimwa, hati ndio inasubiriwa
Umeme upo, hatua chache huongezi nguzo
Maji yapo lakin chumvi. Dawasa inakuja soon...
Tunauza wino wa photocopy mashine aina ya CONON IR zote pamoja na HP PRINTERS.... Kwa Bei ya Shs
19,000/= kwa Jumla.
Kwa mawawsiliano 0754257556
Kusafilisha mikoani BURE!
Habari wakuu!
Naomba kujulishwa mahali naweza kupata mashine za kukwangua nazi kama hii inayoonekana kwenye picha kwa hapa Dar es salaam na bei zake.
Natanguliza shukrani kwenu!
Habari zenu woote,
Nahitaji kukodishiwa turubai mfano wa hili hapa chini, kwa muda wa wiki moja kw ajili ya klinik ya afya ngozi BURE.Itafanyika Mbezi mwisho , Dar es salaam.
Kama unajua...
Eneo lipo Kibada block 18,
Ukubwa wa eneo ni SQM 3500.
Eneo lemepimwa na lina hati kutoka wizara ya Ardhi.
Linafaa kwa matumizi mbali mbali, kama vile, Go down, Kiwanda kidogo, Ujenzi wa shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.